Heri ya krismas na mwaka mpya kwa wanaJF.

Heri ya krismas na mwaka mpya kwa wanaJF.

Nikianza na Familia ya huyu bwana
Asprin na mkewe Sky Eclat niwatakie heri ya krismas na mwaka mpya. Endeleeni kuwa mfano kwa wajukuu.
Nashukuru sana swahiba. Nami nakutakia kheri ya Xmas na mafanikio tele kwa mwaka mpya. Salamu za heri ya xmas toka kwangu na mke wangu ziwafikie wajukuu zetu wote. Kwa namna ya pekee zitiririke kwa mchepuko wangu wa kudumu Sakayo
Mashemeji zangu Shunie Hajar Mzigua90 Madame B Mama Sabrina Mshana Jr sweetlee Evelyn Salt @amu Raynavero Bonny @NAHUJA Mr Miller

Na wewe ambaye sijakutaja.... unajijua sana.
 
Back
Top Bottom