Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,494
Hahaha hahaha
Happy new year auntie
Hahaha hahaha
Iwe heri na kwako pia mama.Hahaha hahaha
Happy new year auntie
Mkwe parking nimefanya bustani ya mbogamboga ili angalau macho yaendelee kuona hivyo huo muujiza nipe pesa tu.
Happy new year.
AmenIwe heri na kwako pia mama.
Mkwe hakuna parking tena imekuwa bustani ya mbogamboga, maana uongo wako ulizidi.Haha ahsante kwa parking mkwe Kupark chini ya mti sikua tayari.
Ila mkwe pia nakutamani sana mwaka huu utulie tuyajenge.
Mkwe hakuna parking tena imekuwa bustani ya mbogamboga, maana uongo wako ulizidi.
Mkwe umesema unanitamani!!![emoji144][emoji144][emoji144]
Ndio Mkwe!...wahenga walisema penye uzia penyeza rupia
Thanks Legend, Happy new yearKheri ya Christmass na mwaka mpya mkuu Daby
Mama la Mama Heaven Sent leo zima feni ninakuja na kipepeo unipepee Heri ya Mwaka mpya na BWANA asimamie kila hitaji la Moyo wako.
uwe na mwaka mpya wenye Baraka mkwe wangu espy 2019 lazima nitende muujiza BWANA ataacha tena mwaka huu upite.
Happy New Year and Biggie Love to Kaboom Behaviourist Malcom Lumumba Kasie Bonny Mzee Baba Asprin
Thnx, to u too!