Thats good.Merry Christmas Bilionea kid
Umeshatagiwa mkuu tena na mrembo. You are very lucky buda.
@miss_mbeya kama unakumbukumbu miaka ya nyuma tulikuwa tunavutana saana. Utakuwa umesahau.Same to you ,Mkuu Daby na familia yako kila lakheri katika kuukaribisha mwaka Mpya na uwe wenye baraka katika familia yako kwa mafanikio zaidi
Ingia kwa sheikh google huwa hadanganyi.
Thanx my dear nilikuwa masomoni nikazima ghafla ,hali ilikuwa tight sana ,barikiwa Mtumishi, tupo pamoja sasa@miss_mbeya kama unakumbukumbu miaka ya nyuma tulikuwa tunavutana saana. Utakuwa umesahau.
Thank you for the wishes. Wish you lovely holiday with your siblings sweetheart.
Thank youThats good.
Unatambuaje kwa maandishiMaandishi hayadanganyi mkuu.
Ni mwaka unakatika sasa. Tumekuwa wote humu jukwaani tukibadilishana mawazo na kuelimishana.
Huu uzi uwe mahususi kwa wanaJF kutakiana heri za krismasi na mwaka mpya popote tulipo. Mwaka unapokatika tunamaliza tofauti zetu na kuanza upya mwaka unaofuatia.
Karibuni wanaJF.