Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 14,975
Ahsante sana bro..Na we pia..Nasikia umetekwa na mapenzi ndo mana umekuwa adimuKheri ya Christmass na mwaka mpya mkuu Daby
Mama la Mama Heaven Sent leo zima feni ninakuja na kipepeo unipepee Heri ya Mwaka mpya na BWANA asimamie kila hitaji la Moyo wako.
uwe na mwaka mpya wenye Baraka mkwe wangu espy 2019 lazima nitende muujiza BWANA ataacha tena mwaka huu upite.
Happy New Year and Biggie Love to Kaboom Behaviourist Malcom Lumumba Kasie Bonny Mzee Baba Asprin