The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,620
- 119,892
Thanks mkuu,nikutakie kila la kheri in advance for the coming new year 2019
Thanks mkuu,nikutakie kila la kheri in advance for the coming new year 2019
Merry Christmas DabyNi mwaka unakatika sasa. Tumekuwa wote humu jukwaani tukibadilishana mawazo na kuelimishana.
Huu uzi uwe mahususi kwa wanaJF kutakiana heri za krismasi na mwaka mpya popote tulipo. Mwaka unapokatika tunamaliza tofauti zetu na kuanza upya mwaka unaofuatia.
Karibuni wanaJF.
Shukrani saana Mtoto wa BabaMerry Christmas Daby
Thanks na wewe pia,uko njema lakini rafiki?Happy Holidays Y'all 😚😚😚😚😚
Am very fine my darlingThanks na wewe pia,uko njema lakini rafiki?
Thanks in advance brother
Am happy to hear that...wow! siku hizi na mimi najifunza kiingereza! kama nimekosea utanirekebisha.😀Am very fine my darling
Karibu sana. Do not be afraid of making mistakes, that's how you learn.Am happy to hear that...wow! siku hizi na mimi najifunza kiingereza! kama nimekosea utanirekebisha.😀