Khaaaa! Mr Rocky umesahau huu ndio ule mwezi tumeagizwa kuwapenda maadui zetu na kuwatendea mema?
Taratibu na mdomo wako Mungi , usijenivunjia ndoa mie !
ndoa imeshikiliwa na uzi wa pamba
ni vile tuu Baba V haaminiki siku hizi aise
angekuwa ashaitengua Mungi endelea kupiga jaramba huenda ukaingia kwenye tano bora
Last edited by a moderator: