Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Wifi nakuona ume fall kwa Arushaone , kakako umemwambia ?
nakaribia kutoa talaka wifi kakangu amenichagulia Ruttashobolwa
Last edited by a moderator:
Wifi nakuona ume fall kwa Arushaone , kakako umemwambia ?
Sina hasara manake utabaki wewe namba moja
Hehehehe! Na dalili zinaonyesha mtafika nduruma mda sio mrefu!
Mi hata kwenye top 3 milioni sipo hahaaaaaaaaa
Taratibu Mungi ! Utafanya uzi wa Meezy uhamishiwe jukwaa la kikubwa afu wengine bado wadogo hatuna access ya kuingia kule !Lily Flower kwa jinsi unavyoninanii hata kuandika siwezi tena
son mzima singapo wanakusalimu
Hahahahaha! Yatakushinda lolMi nshashikwa mgongoni mabegani sina hata hamu lol!
Watoto wa siku hizi bana! Eti maza mambo! Khaaa!Heeeeeeee maza mambo! asante kwa salamu za singapo.............. nimekumbuka kuku loh!
inshort ni ndizi zilizopikwa na kuchanganywa na nyama nyingi.
Toa wifi manake Arushaone hajatulia kabisa! Ruttashobolwa afadhali manake anaugulia machungu ya kuachwa na Madame B hvyo atakutreat vizuri wifi!nakaribia kutoa talaka wifi kakangu amenichagulia Ruttashobolwa
mh! haleluyaaaaaaaa