Heri ya Krismas na Mwaka Mpya 2013

Heri ya Krismas na Mwaka Mpya 2013

afu Mungi kitendo cha kunisakzia mbwa sijui wanaitwa jemanishefadi na kunikosakosa kwa silaha ya kivita ni kosa la UHAINI na KUTISHIA KUUA..ngoja aje wakili Ruttashobolwa.

Wakili wako Ruttashobolwa hayuko tayari kukatisha ziara zake za hapa duniani...... manake akijaribu tu anakutana na hii kitu:
AK-47_type_II_Part_DM-ST-89-01131.jpg
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la Mr Rocky ni ugeni wa humu duniani......... hajui geti kali ikoje................... we ungekuwa geti kali ungekuwa unazurura namna hii! eti geti kali wakati unawafahamuje mpaka akina babu Asprin, Bishanga, Arushaone, Erickb52 na kwa mbaaaali nitonye


Mungi aliwafaham kupitia humu humu JF ila hajawahi kuwatia machoni ooopppss ina maana kuwaona na hao hawana madhara kwake kabisa ni waongeaji tuu
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mungi aliwafaham kupitia humu humu JF ila hajawahi kuwatia machoni ooopppss ina maana kuwaona na hao hawana madhara kwake kabisa ni waongeaji tuu

sasa we unasema nini Mr Rocky? wakati sweetlady anasoma chekechea mi ndo nilikuwa namvusha barabara hahaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Unakataa nini sasa?
Street+girls+-+Helping+kids+cross+the+road.jpg

Hebu angalia hapo katikati hapo uliposhikwa kichwa na mi nipo nyuma yako

Yani we na Mr Rocky mmekuwa kama tomaso hamtaki kuamini lol

haki ya nani Mungi nareport abuse huwezi kulidhalilisha geshi la polishi kiasi hiki aise
yaani umeenda kutafuta weee mpaka ukapata picha yangu
namtafuta Paw na Invisible waone hii abuse
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom