Heri ya Krismas na Mwaka Mpya 2013

Siyo kumvusha barabara peke yake mkuu, hata toilet nilikuwa nampeleka namvua pampasi. anatakiwa anipe salute

Wewe ndo ulimfundisha mambo mabaya na michezo mibaya sweetlady hakuwa hivi aise huko mwanzoni Mungi una kesi ya kujibu

Heeeeeeeeee labda sweetlady, manake Lily Flower humpati ng'o! sweetlady nakupa bure kabisa, kama unataka namba yake ya simu ni 02035053164! sharti umwingizie vocha ya startimes ya 18,000 kama and upigia mwenyewe

ze number u r beeeping is not beepable try again after xmass
ndo no gani umenipa hiyo Mungi
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaaaaa we kwangua vocha halafu uniPM kwa sababu we huna access na sweetlady mi ntamtumia sawa?
Mungi mimi nina access na kila alicho nacho sweetlady nashangaa wewe unanipa no yake ya star time wakati mimi nina ya simu na credit card zake zote na paswedi ya mpesa na tigo pesa na zantel na airtel money
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom