Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Mungi ama wivu kwa kuwa amekukosa na ndo maana anatapa tapa na kusema mbovu ila mimi na wewe hajui tulikutana wapi
Sikiliza Mr Rocky, ni kweli we unampenda sweetlady, na mi simpendi nampenda manzi wangu. Lakini ujue sweetlady anawapenda wewe, Arushaone, Asprin, Bishanga na kwa mbaaaali anamzimia toto tundu Erickb52.
Mnapendwa sana nyie