Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
- Thread starter
- #161
matroo ndio nini?
Asante sana Meezy nawe nakutakia sikukuu njema ya christmas na mwaka mpya,nami nichukue fursa hii kuwatakia sikuu njema ya christmas na mwaka mpya wana jf wote hasa wana chit-chat na wana mmu,natumaini mungu wetu ni mwema tunaomba majaliwa yake tuweze kuisherekea sikukuu ya christmas na pia kuuona mwaka 2013.
Mungu wetu ni mwema atujalie afya tele
Tudumishe Amani na upendo,
Asante sana mkuu...ubarikiwe sana.
Watoto wa siku hizi bana! Eti maza mambo! Khaaa!
Uhamie na za ungaltdhahaaaaaaaaa tena sikuizi baa zangu ni za matejoo
Heee, bora mie wa Jakahayasie ndo watoto wa mkaahapa kama hujui sasa
sie ndo watoto wa mkaahapa kama hujui sasa
Kiding'a ni tanzania?
Mungi bana eti kaacha ndyofu afu anakunywa konyagi daah, sijui ni uchumi mbovu jamani khaaa
Lily Flower kwa jinsi unavyoninanii hata kuandika siwezi tena