Heri ya Krismas na Mwaka Mpya 2013

hapa hapa kijijini kwetu aise nishaanda beberu na my wife wangu Dena Amsi ataandaa mlo wa nguvu aise kwa wageni kama wewe stevoh na Mungi

Asante Mkuu Mr Rocky, nilikuwa nije na patna wangu sweetlady lakini kwa hii tabia yake ya kubugia mavaluu mpaka anakuwa hivi ish! nimeghairi!
578016_388008231279895_1944808416_n.jpg

Wacha nije na my Lily Flower mkuu.
 
Last edited by a moderator:

Mungi mi sitakuwa na la ziada ila kukutakia kila la kheri katika maandalizi haya mkuu na kukupa pia nafasi ya kujitafakati na kujua wapi ilienda mchomo na kurudi huko mapema
Pia kukuombea katika kuhakikisha kuwa unaumaliza mwaka salama na unatekeleza kile ambacho ulipanga na pale ambapo hukutimiza lengo ni maombi yetu kuwa utajitahidi kuhakikisha kuwa unayatuimiza malengo hayo mkuu
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Mkuu
Kwa wakati huu ni muda wa kutafakari ni wapi tulikosea na wapi twapaswa kujisahihisha ili kuweza kurudi katika mstari ulioonyooka
Kimaisha pia ni wakati wa kutafakari ni yapi tuliyafanya kwa ufanisi katika mipango yetu ya mwaka huu na wapi ambapo tulishindwa kufikia malengo yetu
Asante sana na tuombeane tuweze kuumaliza mwaka huu salama
Asante sana Meezy na akina Arushaone, Erickb52, Baba V, Kaunga, AshaDii, Asprin< Bishanga, Blaki Womani, sweetlady, snowhite, HorsePower, Preta, gfsonwin, Filipo, St. Paka Mweusi @st. ivuga, marejesho, na my wife wangu mpendwa Dena Amsi nawatakia maandalizi mema ya sikukuu zijazo hapa

Ingawa siko kwenye listi potelea mbali...............Merry Christmas and a happy new year 2013, have a great festival Mr Rocky.
 
Last edited by a moderator:
Ingawa siko kwenye listi potelea mbali...............Merry Christmas and a happy new year 2013, have a great festival Mr. Rocky.

mekusahau mtu muhimu kama wewe Lily Flower
kwenye list waweza usiwepo ila moyoni upo sana
Nakutakia na wewe maandalizi mema sana ya msimu huu na Mwenyezi Mungu akutangulie katika yote na mwisho wako wa mwaka ukawe na ulinzi kutoka kwake na usherehekee vyema
 
Asante Mr Rocky tupo pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Mkuu
Kwa wakati huu ni muda wa kutafakari ni wapi tulikosea na wapi twapaswa kujisahihisha ili kuweza kurudi katika mstari ulioonyooka
Kimaisha pia ni wakati wa kutafakari ni yapi tuliyafanya kwa ufanisi katika mipango yetu ya mwaka huu na wapi ambapo tulishindwa kufikia malengo yetu
Asante sana na tuombeane tuweze kuumaliza mwaka huu salama
Asante sana Meezy na akina Arushaone, Erickb52, Baba V, Kaunga, AshaDii, Asprin< Bishanga, Blaki Womani, sweetlady, snowhite, HorsePower, Preta, gfsonwin, Filipo, St. Paka Mweusi @st. ivuga, marejesho, na my wife wangu mpendwa Dena Amsi nawatakia maandalizi mema ya sikukuu zijazo hapa
Asante sana Mr Rocky
Pokea salamu za xmass toka kwa bibie Amyner na Kipipi

Meezy nashukuru sana kwa baraka zako!
 
Last edited by a moderator:
Asante Mr Rocky tupo pamoja.

pamoja sana Lily Flower nategemea mwaliko kutoka kwako

Asante sana Mr Rocky
Pokea salamu za xmass toka kwa bibie Amyner na Kipipi

Meezy nashukuru sana kwa baraka zako!
Erickb52 pamoja sana kaka
Ni mapenzi ya Mungu sana kufikia siku kama hizi maana hatukumpa kitu cha maana wala sisi sio wema sana ila naamini ana kusudi lake kutuacha
So tunapofikia muda kama huu ni jambo la kumshukuru sana Mungu na kwani ametupitisha katika mengi
Maandalizi yako yakawe mema Erickb52
 
Last edited by a moderator:
pamoja sana Lily Flower nategemea mwaliko kutoka kwako

Erickb52 pamoja sana kaka
Ni mapenzi ya Mungu sana kufikia siku kama hizi maana hatukumpa kitu cha maana wala sisi sio wema sana ila naamini ana kusudi lake kutuacha
So tunapofikia muda kama huu ni jambo la kumshukuru sana Mungu na kwani ametupitisha katika mengi
Maandalizi yako yakawe mema Erickb52
Asante.
Sijakuona long time...upo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom