Here we go again: US to suspend immigrant visa processing from 75 countries (including Tanzania) over public assistance concerns

Wabongo on welfare? almost zero, only a few like Nyani Ngabu na mwanamke wake mnene kama tractor aliyemuuzia paper
 
The countries affected by the suspension announced on Wednesday are:

The State Department, led by Secretary of State Marco Rubio, said it had instructed consular officers to halt immigrant visa applications from the countries affected in accordance with a broader order issued in November that tightened rules around potential immigrants who might become “public charges” in the U.S.

The step builds on earlier immigration and travel bans by the administration on nearly 40 countries and is part of President Donald Trump’s ongoing efforts to tighten U.S. entry standards for foreigners.

“The Trump administration is bringing an end to the abuse of America’s immigration system by those who would extract wealth from the American people,” the department said in a statement. “Immigrant visa processing from these 75 countries will be paused while the State Department reassess immigration processing procedures to prevent the entry of foreign nationals who would take welfare and public benefits.”

The suspension, which will begin Jan. 21, 2026 will not apply to applicants seeking non-immigrant visas, or temporary tourist or business visas, who make up the vast majority of visa seekers. Demand for non-immigrant visas is expected to rise dramatically in the coming months and years due to the upcoming 2026 World Cup and 2028 Olympics both of which the U.S. will host or co-host.
 
Idara ya Mambo ya Nje, ikiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio , ilisema imewaagiza maafisa wa ubalozi kusitisha maombi ya visa ya wahamiaji kutoka nchi zilizoathiriwa kwa mujibu wa amri pana iliyotolewa mwezi Novemba 2025 ambayo iliimarisha sheria kuhusu wahamiaji wanaoweza kuwa "wanyonyaji wa kodi za umma wa Wamarekani" nchini Marekani.

Hatua hiyo inatokana na marufuku ya awali ya uhamiaji na usafiri yaliyotolewa na serikali kwa karibu nchi 40 na ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za utawala wa Rais Donald Trump za kuimarisha viwango na vigezo vya kuingia Marekani kwa wageni.

"Utawala wa Trump unakomesha matumizi mabaya ya mfumo wa uhamiaji wa Marekani na wale ambao wangenyonya utajiri kutoka kwa watu wa Marekani," idara hiyo ilisema katika taarifa. "Ushughulikiaji wa visa ya wahamiaji kutoka nchi hizi 75 utasitishwa huku Idara ya Mambo ya Nje ikitathmini upya taratibu za uhakiki wa wahamiaji ili kuzuia kuingia kwa raia wa kigeni ambao wangechukua manufaa ya pesa za umma zilizotengwa kwa ustawi jamii ambazo zinayostahili raia wa Marekani tu."

Kusimamishwa huko, ambako kutaanza Januari 21, 2026 hakutawahusu waombaji wanaotafuta visa zisizo za wahamiaji, au visa za kitalii au biashara za muda, ambao ndio wengi wa wanaotafuta visa. Mahitaji ya visa zisizo za wahamiaji yanatarajiwa kuongezeka sana katika miezi na miaka ijayo kutokana na kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia la 2026 na Olimpiki ya 2028 Los Angeles US
 
Trump is on offense once again!

The countries affected by the suspension announced on Wednesday are:

Afghanistan, Albania, Algeria, Antigua and Barbuda, Armenia, Azerbaijan, Bahamas, Bangladesh, Barbados, Belarus, Belize, Bhutan, Bosnia, Brazil, Burma, Cambodia, Cameroon, Cape Verde, Colombia, Congo, Cuba, Dominica, Egypt, Eritrea, Ethiopia, Fiji, Gambia, Georgia, Ghana, Grenada, Guatemala, Guinea, Haiti, Iran, Iraq, Ivory Coast, Jamaica, Jordan, Kazakhstan, Kosovo, Kuwait, Kyrgyzstan, Laos, Lebanon, Liberia, Libya, Macedonia, Moldova, Mongolia, Montenegro, Morocco, Nepal, Nicaragua, Nigeria, Pakistan, Republic of the Congo, Russia, Rwanda, Saint Kitts and Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Senegal, Sierra Leone, Somalia, South Sudan, Sudan, Syria, Tanzania, Thailand, Togo, Tunisia, Uganda, Uruguay, Uzbekistan and Yemen.

US to suspend immigrant visa processing from 75 countries over public assistance concerns — The Associated Press
Trump ni kaburu. Yeye amesema wazi anawataka wazungu wenziwe tu wala si wabantu kina mimi
 
Kifupi huyo mwanafunzi kapata visa kwa sababu wanafunzi hawatumii immigrant visa (hii iliyositishwa), wanatumia Non-Immigrant visa, ambayo haijasitishwa.

Ukisoma hiyo taarifa kwenye link post ya kwanza hapo juu utaona wameandika hivi.

"The suspension, which will begin Jan. 21, will not apply to applicants seeking non-immigrant visas, or temporary tourist or business visas, who make up the vast majority of visa seekers. Demand for non-immigrant visas is expected to rise dramatically in the coming months and years due to the upcoming 2026 World Cup and 2028 Olympics both of which the U.S. will host or co-host."

Kirefu.

Visa ya US ina aina nyingi, lakini ina aina kubwa mbili. Immigrant Visa na Non Immigrant Visa.

Tuanze na Immigrant Visa.

Hii ni visa ya watu wanaohamia kabisa US, wanasema wanataka kwenda kuweka makazi kabisa huko bila ya kuwa na mpango wa kurudi kimoja nchi walikotoka. Mfano mtu anayepata Green Card kwa lottery na kuamua kuishi Marekani, au mtu anayeoa au kuolewa na Mmarekani na kuamua kufanya makazi Marekani kimoja.

Hiyo inaitwa Immigrant Visa.

Kwa kuelewa kirahisi, Immigrant Visa ni ile inayoitwa Green Card.

Halafu kuna aina kubwa ya visa nyingine. Non-Immigrant Visa.

Hii ni kwa mtu anayesema anataka kwenda Marekani kwa kipindi fulani halafu atarudi nchini mwake. Watu wengi wanaoenda Marekani ndiyo wanatumia hii Non Immigrant visa. Hii inajumuisha visa za wanafunzi, watalii, wafanyabiashara na watu wengine wote ambao wanapata visa ya kwenda Marekani, kufanya shughuli zao, na kisha kurudi kwao, kwa mfano Tanzania.

Sasa Marekani ilisema imesitisha utoaji wa Immigrant Visa (Green Card). Wanadai kuwa wahamiaji wengi wanapata hizi visa halafu wanakuwa tegemezi kwa serikali. Serikali ya Marekani ya sasa inataka kuondoa utegemezi huu.Na ukiipata hii visa kwa namna fulani serikali ina wajibu fulani kukusaidia.

Mtu anayeenda kusoma anatumia student visa ambayo ni Non-Immigrant visa, si Green Card, si Immigrant Visa.

Hiyo inamaanisha mtu anayeomba Non-Immigrant Visa kwenda kusoma Princeton, suala la serikali ya US kusitisha utoaji wa Immigrant Visa halitamhusu.

Hata wewe ukitaka kuja kusoma, kutalii, kufanya biashara, kinsingi Marekani visa ya Non-Immigrant bado wanatoa, ila masharti yao ni magumu kama unavyowajua kila siku.

Ndiyo maana aliyeenda kusoma Princeton kapata visa bila tatizo.

Kwa sababu yeye anaomba Non-Immigrant Visa, si Immigrant visa (Green Card).

Huyu anayeenda kusoma zake Princeton (bonge la shule by the way, nilikwenda kutembea hapo miaka mingi sana wakati naangalia vyuo vya kusoma, hongera zake) huyu mambo ya Immigrant Visa hayamhusu, yeye anatafuta Non Immigrant Visa, hususan student visa.
Asante kwa kunyoosha, wengi manyumbu humu wanahusisha na siasa za Tundu kuwa Ukonga
 
Mkuu Trump kapiga pini viza zote kutolewa kwa Watanzania, alianza na non-immigrant hiyo Jan 1 kama zuio namba 2, akiacha makundi machache kama wanamichezo lakini watembezi wa utalii, familia, wanafunzi wote hawawezi pata visa baada ya Jan 1.

Kabla ya hapo aliweka kikwazo cha kuweka kudeposit bond kwa maombi ya kuanzia mwezi Oktoba...

Sasa hiili zuio jipya la tatu naona ndio msumari wa mwisho unless uwe na uraia wa Marekani ndio utatia timu USA...
Mzuiwe tu. Siyo mnakwenda US kama alivyokwenda MangeKimambi, mnakosa kazi kisha maanza kuuza uchi. Na baada ya kuzeeka na kukosa soko mnaanza kutukana Serikali ya Tanzania
 
Trump is on offense once again!

The countries affected by the suspension announced on Wednesday are:

Afghanistan, Albania, Algeria, Antigua and Barbuda, Armenia, Azerbaijan, Bahamas, Bangladesh, Barbados, Belarus, Belize, Bhutan, Bosnia, Brazil, Burma, Cambodia, Cameroon, Cape Verde, Colombia, Congo, Cuba, Dominica, Egypt, Eritrea, Ethiopia, Fiji, Gambia, Georgia, Ghana, Grenada, Guatemala, Guinea, Haiti, Iran, Iraq, Ivory Coast, Jamaica, Jordan, Kazakhstan, Kosovo, Kuwait, Kyrgyzstan, Laos, Lebanon, Liberia, Libya, Macedonia, Moldova, Mongolia, Montenegro, Morocco, Nepal, Nicaragua, Nigeria, Pakistan, Republic of the Congo, Russia, Rwanda, Saint Kitts and Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Senegal, Sierra Leone, Somalia, South Sudan, Sudan, Syria, Tanzania, Thailand, Togo, Tunisia, Uganda, Uruguay, Uzbekistan and Yemen.

US to suspend immigrant visa processing from 75 countries over public assistance concerns — The Associated Press
Hii haitomuhusu Mange? Nauliza tu nisitukanwe! Hivi miye niliyeko Mwanakwerekwe yanihusuje?
 
Mzuiwe tu. Siyo mnakwenda US kama alivyokwenda MangeKimambi, mnakosa kazi kisha maanza kuuza uchi. Na baada ya kuzeeka na kukosa soko mnaanza kutukana Serikali ya Tanzania

Acha makasiriko, karibu Nash....

Screenshot_20260115_144059_Gallery.jpg
 
I wish watu waache kuiona US is like heaven, bongo unaweza kutoboa pia na ukaishi high quality life kuliko US, nimekaa US more than 20 years
Nadhani una bichwa likubwa kama tembo na akili (uwezo wa kufikiri) ndogo kama sisimizi. Or else ni chawa mwandamizi
 
Kifupi huyo mwanafunzi kapata visa kwa sababu wanafunzi hawatumii immigrant visa (hii iliyositishwa), wanatumia Non-Immigrant visa, ambayo haijasitishwa.

Ukisoma hiyo taarifa kwenye link post ya kwanza hapo juu utaona wameandika hivi.

"The suspension, which will begin Jan. 21, will not apply to applicants seeking non-immigrant visas, or temporary tourist or business visas, who make up the vast majority of visa seekers. Demand for non-immigrant visas is expected to rise dramatically in the coming months and years due to the upcoming 2026 World Cup and 2028 Olympics both of which the U.S. will host or co-host."

Kirefu.

Visa ya US ina aina nyingi, lakini ina aina kubwa mbili. Immigrant Visa na Non Immigrant Visa.

Tuanze na Immigrant Visa.

Hii ni visa ya watu wanaohamia kabisa US, wanasema wanataka kwenda kuweka makazi kabisa huko bila ya kuwa na mpango wa kurudi kimoja nchi walikotoka. Mfano mtu anayepata Green Card kwa lottery na kuamua kuishi Marekani, au mtu anayeoa au kuolewa na Mmarekani na kuamua kufanya makazi Marekani kimoja.

Hiyo inaitwa Immigrant Visa.

Kwa kuelewa kirahisi, Immigrant Visa ni ile inayoitwa Green Card.

Halafu kuna aina kubwa ya visa nyingine. Non-Immigrant Visa.

Hii ni kwa mtu anayesema anataka kwenda Marekani kwa kipindi fulani halafu atarudi nchini mwake. Watu wengi wanaoenda Marekani ndiyo wanatumia hii Non Immigrant visa. Hii inajumuisha visa za wanafunzi, watalii, wafanyabiashara na watu wengine wote ambao wanapata visa ya kwenda Marekani, kufanya shughuli zao, na kisha kurudi kwao, kwa mfano Tanzania.

Sasa Marekani ilisema imesitisha utoaji wa Immigrant Visa (Green Card). Wanadai kuwa wahamiaji wengi wanapata hizi visa halafu wanakuwa tegemezi kwa serikali. Serikali ya Marekani ya sasa inataka kuondoa utegemezi huu.Na ukiipata hii visa kwa namna fulani serikali ina wajibu fulani kukusaidia.

Mtu anayeenda kusoma anatumia student visa ambayo ni Non-Immigrant visa, si Green Card, si Immigrant Visa.

Hiyo inamaanisha mtu anayeomba Non-Immigrant Visa kwenda kusoma Princeton, suala la serikali ya US kusitisha utoaji wa Immigrant Visa halitamhusu.

Hata wewe ukitaka kuja kusoma, kutalii, kufanya biashara, kinsingi Marekani visa ya Non-Immigrant bado wanatoa, ila masharti yao ni magumu kama unavyowajua kila siku.

Ndiyo maana aliyeenda kusoma Princeton kapata visa bila tatizo.

Kwa sababu yeye anaomba Non-Immigrant Visa, si Immigrant visa (Green Card).

Huyu anayeenda kusoma zake Princeton (bonge la shule by the way, nilikwenda kutembea hapo miaka mingi sana wakati naangalia vyuo vya kusoma, hongera zake) huyu mambo ya Immigrant Visa hayamhusu, yeye anatafuta Non Immigrant Visa, hususan student visa.
Huyo aneenda Princeton atakuwa aenda kwa masters, ni moja ya vyuo bora sana kwa sasa Marekani.

Princeton wana jumba kubwa sana la makumbusho na kanisa kubwa (Princeton University Chapel)

Library yake kubwa imejengwa mwaka 1948 (imagine!!)
 
Mkuu,

Kwani Mtanzania hawezi kusoma undergraduate Princeton?

Unapotia msisitizo (imagine!!) 1948 unaona zamani au?

Library ya Harvard University imejengwa 1671- 1678. Harvard is older than the United States.
 
Well, siwalaumu kwa wao kufanya hivyo maana kusema ukweli watu wengi sana duaniani walikuwa wana take advantage na sheria za uhamiaji za Marekani.

Mtu anabeba mimba huko Handeni, Tanga, halafu akikaribia kuzaa anaenda Marekani kutembea halafu anazalia huko ili mwanae apate uraia wa Marekani.

Birthright citizenship ni moja ya sheria zilizopitwa sana na wakati na watu kibao kutoka nchi zingine wamenufaika nayo.

Kwenye hilo simlaumu Trump.

Hata mimi ambaye ni mhamiaji nilikuwa nawashagaa sana Wamarekani kwa kuwa na sheria kama hiyo mpaka hivi sasa.
Dawa nzuri ni ile wafika pale wababatizia mumo kwa mumo huku wapiga kitabu lakini jicho la tatu laangalia mstakabali wako wa baadae.

Wakutana na mtu katoka Kinondoni au Magomeni kwa mapipa yuko sawa lakini avuta tu benefits na kujionyesha kwenye IG, kumbe hana hata cheti ya "Hygiene".

Ila hio ilikuwa zamani sasa hivi ni ujuzi na maarifa ndo nyenzo muhimu kwa kuishi Marekani kama wataka kuishi kama mhamiaji wa kudumu.
 
Mkuu,

Kwani Mtanzania hawezi kusoma undergraduate Princeton?

Unapotia msisitizo (imagine!!) 1948 unaona zamani au?

Library ya Harvard University imejengwa 1671- 1678. Harvard is older than the United States.
Hapana mkuu hiyo Havard jiko la werevu liache tu nawaza tu Princeton ni chuo kidogo kimejenga library 1948!!

Sasa kuanzia 1678 hadi 1948 (vita kuu ya dunia imepiganwa na ikaisha) nawaza tuuu, Tanganyika ilikuwa wapi?
 
Hii suspension ya leo has nothing to do with Samuya na serikali yake. Wabongo msikariri. This is a suspension due to concerns over public assistance yani mataifa ambayo asilimia fulani ya watu wake wanategemea public assistance (welfare). Samuya hajatuma wabongo wakategemee welfare wakienda huko. Nilishangaa pia kuiona TZ kwenye hiyo list maana sijawahi kutana na mbongo on welfare, but I guess there are some, according to this report below:

View attachment 3529933
It will create some kind of scenario on where to start.

Tanzania has a partial ban.
 
Hapana mkuu hiyo Havard jiko la werevu liache tu nawaza tu Princeton ni chuo kidogo kimejenga library 1948!!

Sasa kuanzia 1678 hadi 1948 (vita kuu ya dunia imepiganwa na ikaisha) nawaza tuuu, Tanganyika ilikuwa wapi?
Princeton si chuo kidogo, ni kati ya Ivy Leagues za Marekani.

Kimekuwapo kabla Marekani haijawa Marekani.

Kina maktaba tangu mwaka 1740, mwaka 1740 Marekani bado haijakuwapo kama nchi.

Hiyo 1948 wamejenga maktaba mpya tu.
 
Hii haitomuhusu Mange? Nauliza tu nisitukanwe! Hivi miye niliyeko Mwanakwerekwe yanihusuje?
Nadhani haitamhusu hatuna full personal info hivyo tuepuke na kuvumisha mambo yaso na ukweli.

Ila kwa mie nadhani baada ya suala la bwana Kweka, watanzania wengi wataomba uraia na kitabu cha Marekani na hii ndo njia pekee ya kubanana mumo kwa mumo.

Kwangu binafsi sipendelei mtu kukaa tu kashikilia Green Card watu wachangamke uraia wa hukohuko.

Ada ya viza kuingia Tanzania si kubwa sana.
 
Princeton si chuo kidogo, ni kati ya Ivy Leagues za Marekani.

Kimekuwapo kabla Marekani haijawa Marekani.

Kina maktaba tangu mwaka 1740, mwaka 1740 Marekani bado haijakuwapo kama nchi.

Hiyo 1948 wamejenga maktaba mpya tu.
Yes, waliiboresha kwa kuipanua.

Wenzetu hawa aisee.

Nashukuru mie pia nilipata nafasi ya kumalizia masters yangu (miaka ya 2000s) kwenye chuo (jina kapuni) wale watu wasije kunitafuta kwenye alumni), na sasa nimelowea hapa Brooklyn.
 
Back
Top Bottom