Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,019
- 142,893
Well, siwalaumu kwa wao kufanya hivyo maana kusema ukweli watu wengi sana duaniani walikuwa wana take advantage na sheria za uhamiaji za Marekani.
Mtu anabeba mimba huko Handeni, Tanga, halafu akikaribia kuzaa anaenda Marekani kutembea halafu anazalia huko ili mwanae apate uraia wa Marekani.
Birthright citizenship ni moja ya sheria zilizopitwa sana na wakati na watu kibao kutoka nchi zingine wamenufaika nayo.
Kwenye hilo simlaumu Trump.
Hata mimi ambaye ni mhamiaji nilikuwa nawashagaa sana Wamarekani kwa kuwa na sheria kama hiyo mpaka hivi sasa.