Bongo ambayo maji na umeme ni vya mgao, kijana wa kimaskini kabisa anaanzaje kutoboa hadi kuishi high quality life?I wish watu waache kuiona US is like heaven, bongo unaweza kutoboa pia na ukaishi high quality life kuliko US, nimekaa US more than 20 years
Anaanza kwa kupambana kuing’oa Serikali ya CCM na mtandao wake wa majambazi.Bongo ambayo maji na umeme ni vya mgao, kijana wa kimaskini kabisa anaanzaje kutoboa hadi kuishi high quality life?
Baba yako angetosheka na kijiji chenu huko Madongo kuinama, ungeweza kufika hata Dar es salaam?Tosheka na nchi yako, kwani usipoenda US ndio maisha yataishia hapo.
Baba yangu alitosheka na Dasalama, kama alivyotosheka babu yangu. Na mimi nimetosheka nayo. By the way, sikuja mjini baada ya kikwete kujenga barabara za lami au kujiunga na UD.Baba yako angetosheka na kijiji chenu huko Madongo kuinama, ungeweza kufika hata Dar es salaam?
We paka. Upigwe na mazeruzeru umlalamikie mama wa watu.Huyu mama anatuharibia nchi.