Mabula Msirikale
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 1,060
- 2,311
Atakupotezea muda huyo anajua mambo ya Yanga na Simba na bongo movie bongo flavour tu.Kwenye hiyo orodha, ni nchi gani unaiona ina utawala ambao sio mbovu?
Atakupotezea muda huyo anajua mambo ya Yanga na Simba na bongo movie bongo flavour tu.Kwenye hiyo orodha, ni nchi gani unaiona ina utawala ambao sio mbovu?
Paper za uhamiaji wa wapi?Paper zilizokupa uhamiaji ulitoka nazo kwenu? acha kujitoa akili
Huyu ni wewe umeandika acha kujifanya chizi…Hata mimi ambaye ni mhamiaji nilikuwa nawashagaa sana Wamarekani kwa kuwa na sheria kama hiyo mpaka hivi sasa.Paper za uhamiaji wa wapi?
Mhamiaji wa wapi?Huyu ni wewe umeandika acha kujifanya chizi…Hata mimi ambaye ni mhamiaji nilikuwa nawashagaa sana Wamarekani kwa kuwa na sheria kama hiyo mpaka hivi sasa.
Hukuwa na sababu ya kuwashangaa. Marekani ni nchi ya wageni na imejengwa (na inaendelea kujengwa) na wageni. Wote hao wenye roho mbaya ni descendants wa immigrants. Watu pekee ambao wakipinga wimbi la uhamiaji nitawaelewa ni Red Indians.Well, siwalaumu kwa wao kufanya hivyo maana kusema ukweli watu wengi sana duaniani walikuwa wana take advantage na sheria za uhamiaji za Marekani.
Mtu anabeba mimba huko Handeni, Tanga, halafu akikaribia kuzaa anaenda Marekani kutembea halafu anazalia huko ili mwanae apate uraia wa Marekani.
Birthright citizenship ni moja ya sheria zilizopitwa sana na wakati na watu kibao kutoka nchi zingine wamenufaika nayo.
Kwenye hilo simlaumu Trump.
Hata mimi ambaye ni mhamiaji nilikuwa nawashagaa sana Wamarekani kwa kuwa na sheria kama hiyo mpaka hivi sasa.
Kuwa nchi ya wageni si sababu ya kuwa na sheria mbovu mbovu na za kipumbavu.Hukuwa na sababu ya kuwashangaa. Marekani ni nchi ya wageni na imejengwa (na inaendelea kujengwa) na wageni. Wote hao wenye roho mbaya ni descendants wa immigrants. Watu pekee ambao wakipinga wimbi la uhamiaji nitawaelewa ni Red Indians.
Trump ni mtu asiyeheshimu Rule of Law. Yapo mambo chungunzima anayofanya ambayo ni illegal, lakini hajali. Tofauti kati yake na fazafaka wa Kizimkazi kwenye eneo hili ni ndogo sana, kama ipo!
Trump unamjua vizuri? That mazafaka is a Machiavellian. With him, like any other Machiavellian, the end justifies the means. Yeye muda wote huanza na the end, kisha anatafuta pretext itakayokwenda sambamba na njia atakayoitumia.Hii suspension ya leo has nothing to do with Samuya na serikali yake. Wabongo msikariri. This is a suspension due to concerns over public assistance yani mataifa ambayo asilimia fulani ya watu wake wanategemea public assistance (welfare). Samuya hajatuma wabongo wakategemee welfare wakienda huko. Nilishangaa pia kuiona TZ kwenye hiyo list maana sijawahi kutana na mbongo on welfare, but I guess there are some, according to this report below:
View attachment 3529933
Stop the BS,wewe ni mhamiaji like everyone else, acha gatekeepingMhamiaji wa wapi?
Nimehamia wapi wewe? Ushawahi kuniona huko unakodai mimi ni mhamiaji?Stop the BS,wewe ni mhamiaji like everyone else, acha gatekeeping
Wahenga walisema maskini akipata matako hulia mbwata,you secured some papers maybe through a sketchy marriage, now you’re gatekeeping like you own the place, the audacity is wildKuwa nchi ya wageni si sababu ya kuwa na sheria mbovu mbovu na za kipumbavu.
Yaani kigezo cha kuwa raia ni kuzaliwa ndani tu ya ardhi ya nchi!
Sheria ya kipumbavu hiyo.
Australia na New Zealand nazo ni nchi za wageni lakini hazina tena hizo sheria zilizopitwa na wakati. Walishazifuta.
Hivyo, hawezi tu kubeba mimba huko Afrika halafu akikaribia kuzaa anaenda Auckland au Sydney ili akazalie huko kwa dhumuni la mtoto wake kuwa raia!
Btw, ni nchi gani za Kiafrika zenye birthright citizenship? Tanzania imo?
Maana hata sisi tuna wageni kibao tu toka Msumbiji, Malawi, Zambia, Rwanda, Burundi, nk.
Hujui chochote. Unabashiri tu.Wahenga walisema maskini akipata matako hulia mbwata,you secured some papers maybe through a sketchy marriage, now you’re gatekeeping like you own the place, the audacity is wild
Hata kama hiyo sheria ina matatizo, Trump hana authority ya kuipindua unilaterally.Kuwa nchi ya wageni si sababu ya kuwa na sheria mbovu mbovu na za kipumbavu.
Yaani kigezo cha kuwa raia ni kuzaliwa ndani tu ya ardhi ya nchi!
Sheria ya kipumbavu hiyo.
Australia na New Zealand nazo ni nchi za wageni lakini hazina tena hizo sheria zilizopitwa na wakati. Walishazifuta.
Hivyo, hawezi tu kubeba mimba huko Afrika halafu akikaribia kuzaa anaenda Auckland au Sydney ili akazalie huko kwa dhumuni la mtoto wake kuwa raia!
Btw, ni nchi gani za Kiafrika zenye birthright citizenship? Tanzania imo?
Maana hata sisi tuna wageni kibao tu toka Msumbiji, Malawi, Zambia, Rwanda, Burundi, nk.
That’s beside my point.Hata kama hiyo sheria ina matatizo, Trump hana authority ya kuipindua unilaterally.
It takes 2/3 ya U.S. Congress na 75% ya states kuafiki constitutional amendment. As long as watu kwa umoja wao bado hawajakereka na sheria fulani, hiyo sheria haihitaji marekebisho!
Trump anajua kwamba hoja yake haikubaliki na walio wengi. Ndiyo maana anatumia mabavu kubadilisha mambo.
..na hujatoboa. Bora ungebaki hapa nyumbani tu.... nimekaa US more than 20 years..
Donald Trump si mtu wa kumuamini. Wabongo wa kutegemea welfare hata mimi sijawaona, wengi wenye makaratasi wanapiga kazi zaidi ya moja na wakitaka kuomba hizo programs za serikali wanashindwa ku qualify kwa sababu wamezidisha kipato.Hii suspension ya leo has nothing to do with Samuya na serikali yake. Wabongo msikariri. This is a suspension due to concerns over public assistance yani mataifa ambayo asilimia fulani ya watu wake wanategemea public assistance (welfare). Samuya hajatuma wabongo wakategemee welfare wakienda huko. Nilishangaa pia kuiona TZ kwenye hiyo list maana sijawahi kutana na mbongo on welfare, but I guess there are some, according to this report below:
View attachment 3529933
Hii suspension ya leo has nothing to do with Samuya na serikali yake. Wabongo msikariri. This is a suspension due to concerns over public assistance yani mataifa ambayo asilimia fulani ya watu wake wanategemea public assistance (welfare). Samuya hajatuma wabongo wakategemee welfare wakienda huko. Nilishangaa pia kuiona TZ kwenye hiyo list maana sijawahi kutana na mbongo on welfare, but I guess there are some, according to this report below:
View attachment 3529933
Hata kama hiyo sheria ina matatizo, Trump hana authority ya kuipindua unilaterally.Kuwa nchi ya wageni si sababu ya kuwa na sheria mbovu mbovu na za kipumbavu.
Yaani kigezo cha kuwa raia ni kuzaliwa ndani tu ya ardhi ya nchi!
Sheria ya kipumbavu hiyo.
Australia na New Zealand nazo ni nchi za wageni lakini hazina tena hizo sheria zilizopitwa na wakati. Walishazifuta.
Hivyo, hawezi tu kubeba mimba huko Afrika halafu akikaribia kuzaa anaenda Auckland au Sydney ili akazalie huko kwa dhumuni la mtoto wake kuwa raia!
Btw, ni nchi gani za Kiafrika zenye birthright citizenship? Tanzania imo?
Maana hata sisi tuna wageni kibao tu toka Msumbiji, Malawi, Zambia, Rwanda, Burundi, nk.
Mkuu, hakuna universal law. Sheria nzuri kwetu inaweza kuwa mbaya kwa wengine (au kinyume chake). Vilevile, sheria nzuri leo inaweza kuwa mbaya kesho (au kinyume chake).That’s beside my point.
Birthright citizenship sikubaliani nayo popote pale ilipo duniani.
Kesho Tanzania ikiandika sheria inayotoa birthright citizenship, nitaipinga with same energy.
Hunijui ,never did, STFU with that nonsense..na hujatoboa. Bora ungebaki hapa nyumbani tu.
Waliokuwa tayari wamepewa visa kabla ya Jan.01, 2026 hiyo 'suspension' haiwazuii..Naomba ufafanuzi kidogo kwa anayefahamu.
Wanasema utoaji wa visa umesimamishwa lakini kuna baadhi ya watu naona bado wanakwenda huko. Hii imekaaje? Mcmillan de Maghayo Kiranga
Juzi hapa kuna kijana nimeona anakwenda Princeton.