Wakuchakachua
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 346
- 9
Wewe ndiye Hemedi???
Vijana wa Tanzania tuwe na nidhamu maana kama jaji amesema huwezi wewe utapata wapi hizo point za kushinda. Nafikiri kwenye shindano nidhamu ni mojawapo ya kujiongezea point
Mimi ni mshabiki wa Hemedi na mshabiki wa Jakaya Mrisho Kikwete. Wewe Jee?
<br />Mimi ni mshabiki wa Hemedi na mshabiki wa Jakaya Mrisho Kikwete. Wewe Jee?
Huyu mtoto na tabia zake za kupaka enjo fesi na karolaiti hata akirusha ngumi haiwezi kuwa kali kwani ATAOGOPA KUUMIA MEEEEEEEEEEEEEEEEEEN. Si mnajua tena za masharobaro
<br />Jaji alisitahiri! niliona hicho kipande Jamaa aliponda utafikiri yeye ni shabiki! Jamaa anae aka-apply 3rd Newton's law of motion! Dawa ya moto ni moto!