Helo am new here,

Helo am new here, naomba muongozo wa jins gani naweza kupost bidhaa zangu za sofa cover kwa kitengo cha biashara, asanteni
Karibu sana.. Hapa JF kuna majukwaa mbalimbali... Hivyo basi kwa hitaji lako hilo tafuta jukwaa la biashara na ujasiriamali.. Huko ndio patakufaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom