Hellow JF! Mambo iko Tarangire

Mura unachokosa unataka kureta machembe muchini kuja kurima rami! Nimenyamasa sana naona unataka kuua nyoka na fimbo ya mbali pole sana utaumia sana ukishindana na mimi kaka hawa watoto kuna vitu fulani wanataka kwenye maloveee na hapa ni kisimani wanazunguka karibu kabissa na hawachezi mbali nami
 
Ukimaliza utaniambia maana tuna mtoko naye wa jioni mi na Preata tukiwa pamoja huwa tuna ka dunia ketu hakuna hata mbu wala mbung'o
 
Derimto alienda kulala mapema akatuacha wavumilivu!

Ni ukweli haswaaa ila si unajua nilizingatia ushauri wa mama Preta kulingana na ratibu iliyokuwa inafuata ilibidi niwatoke kidogo na kwenda kumsikiliza Babe! Wakina mwita wasije kunichakachulia
 
Pls PRETA usikubali kuvaa SHANGA hizo kuna nyingine nzuri zaidi zipo!!!
Nakuja nazo leo nipo na GUTA langu njiani 2tamit huko mida ya jion!!

mbona hufiki....zile za Derimto zishakatika
 
Ni ukweli haswaaa ila si unajua nilizingatia ushauri wa mama Preta kulingana na ratibu iliyokuwa inafuata ilibidi niwatoke kidogo na kwenda kumsikiliza Babe! Wakina mwita wasije kunichakachulia

teh teh....halafu wewe.....subiri kwanza
 
Ni ukweli haswaaa ila si unajua nilizingatia ushauri wa mama Preta kulingana na ratibu iliyokuwa inafuata ilibidi niwatoke kidogo na kwenda kumsikiliza Babe! Wakina mwita wasije kunichakachulia

Aminia kaka! Sikujua Mpango mzima
 
siwezi kukusaliti kabisa.....Tarangire ni bustani tu, Serengeti ndio mbuga halisi tena ya nyumbani, hata tukikosa mboga tuna uhakika wa kimolo..........kwa ajili ya hiyo kukusaliti ni ngumu
 
mbona hufiki....zile za Derimto zishakatika

Tunaziunga jioni mama tulia achana na wivu huyo Eng. Atakuletea hirizi bure ukaanza kuota ingawa Yaeda ni mbali simwamini sana huyu jamaa maana nasikia ni mndamba wa moro
 
siwezi kukusaliti kabisa.....Tarangire ni bustani tu, Serengeti ndio mbuga halisi tena ya nyumbani, hata tukikosa mboga tuna uhakika wa kimolo..........kwa ajili ya hiyo kukusaliti ni ngumu

Si unaona sasa maana tayari umeshapuliziwa mambo fulani harafu wewe mura mwwita !!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani mbona maneno matupu tu hakuna hata picha? Natamani nione mlivyoinjoy
 
Wiselady zidisha maombi.Huko Tarangire kuna mbwamwitu wakali sana.Vipi The Finest naye yupo?

mtumishi maombi yalienda vema na finest alikuwepo sambamba na agano jipya yake,,,usiwe unakaa sana mlimani waumini wamenizidi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…