hello!!

Janet pen

Member
Jul 28, 2012
6
6
Hodi, hodi...... mmmm jamani mbona kimya???? wenyewe mpooo, mmhh! au niondoke mbona sikaribishwi? au hamtaki wageni? Mmm basi naondoka isiwe taabu jamani maana nasikia sauti za watu ndani but sikaribiswi.
 
Karibu home. Utakayo yakuta mabaya yaache humu humu. Mazuri nenda nayo ukayakuze kwenye jamii.
 
Hodi, hodi...... mmmm jamani mbona kimya???? wenyewe mpooo, mmhh! au niondoke mbona sikaribishwi? au hamtaki wageni? Mmm basi naondoka isiwe taabu jamani maana nasikia sauti za watu ndani but sikaribiswi.
Kabla sijakukaribisha bi Janet pen, waweza kutuambia we ni jinsia ipi? She/he?

Kama ni he na unapenda dental formula yako ibakie ilivyo, na baiolojia yako isihamishiwe usoni basi kaa mbali na wake zangu Yummy, BADILI TABIA na cacico chini ya uangalizi wa Kongosho. Tena usiwasogelee princess enny, ummu kulthum na Madame B. Ila kama wewe ni she.... come this way baby kwa ukaguzi yakinifu.
 
Last edited by a moderator:

yaani watoto wa siku hizi, hata komenti ya kwanza bado umeshajishtukia unaanza kukimbia!!! ondoka tu tu tena nenda kwa amani
 
Kabla sijakukaribisha bi Janet pen, waweza kutuambia we ni jinsia ipi? She/he?

Kama ni he na unapenda dental formula yako ibakie ilivyo, na baiolojia yako isihamishiwe usoni basi kaa mbali na wake zangu Yummy, BADILI TABIA na cacico chini ya uangalizi wa Kongosho. Tena usiwasogelee princess enny, ummu kulthum na Madame B. Ila kama wewe ni she.... come this way baby kwa ukaguzi yakinifu.

Babu Asprin hebu pumzika mwaya upepelewe na wakezo.
Waachie hyo kazi Erickb52 na Young_Master wenye damu zinazochemka.
Usijefia chumba cha ukaguzi bure.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom