hello!!

hello!!

Nadhani tunakoelekea :ban::ban: itatuita,

Janeth karibu sana uwanjani.

Hahahaaaaaa Madame B yaani baada ya kutuwekea umaarufu wenu wa kuzijua nyumba za kulala wageni ndo umeona umuhimu wa kumkaribisha Da Jane wa Mboya.......haya bana kila la kheri kwenye uvumbuzi mpya wa nyumba za kulala.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa Madame B yaani baada ya kutuwekea umaarufu wenu wa kuzijua nyumba za kulala wageni ndo umeona umuhimu wa kumkaribisha Da Jane wa Mboya.......haya bana kila la kheri kwenye uvumbuzi mpya wa nyumba za kulala.

Ha!
Kumbe ni yule Jane wa Robert kule MMU?
We Jane ushindwe na ulegee ishia hukohuko.
Come baby-shostito Yummy mwache Jane aende zake.
 
Last edited by a moderator:
Umeiona ! Mi nimeistukia mgeni haingiagi kiivo! Chale zimen'cheza! Nahisi huyu ndiye yule.

ha,ha,ha nimeshanga mgeni anajua mpaka choo kilipo,dah?Nami chale zimenikuna,sasa nakufa na huyu mgeni mpaka kieleweke
 
Kabla sijakukaribisha bi Janet pen, waweza kutuambia we ni jinsia ipi? She/he?

Kama ni he na unapenda dental formula yako ibakie ilivyo, na baiolojia yako isihamishiwe usoni basi kaa mbali na wake zangu Yummy, BADILI TABIA na cacico chini ya uangalizi wa Kongosho. Tena usiwasogelee princess enny, ummu kulthum na Madame B. Ila kama wewe ni she.... come this way baby kwa ukaguzi yakinifu.
heeeeeeh!!!! hlo ndo babu likaguzi!! halicheleweshi!! taratibu usije ukakagua he!!!!
 
Unaniitia huko chumbani nije kufanya nini?
Sitaki mi ni bado 'anda eitini'
n'takusemea na Kawambwa,me bado nasoma.

ishhh mbona we ni mkubwa na mambo unayajua bararaba sa umekujaje humu kwa mimi sisi huku ni mapenzi na mapishi
 
mekaa leo tuli sijisikii vizuri sana ila kwa haraka haraka sijamuuelewa huyu ajiitae mgeni mbona ana mikwara ya mbu haiwezekan wagen wote nakumbuka hataa kipindi kile mim pia huwa ni wanyenyekevu lakin yeye kaanza na mipasho mara mikwara ila ukae ukijua hapa cc ni raha hasira peleka kwa shangazio, hapa ni sehemu ya maraha halaf hapa watu waana familia zao yan mke na waume na watoto so watch out labda utakua ushalipna hili jina kama mara mbili tatu ktk thread yako [judgement] baaaasi mi ndo mkewe na siku zinavyozid utawajua wote wanafamilia yetu.karibu ila usishtuke saana hii ni trela tuu karibu my dia janeth
 
Back
Top Bottom