Hela alizokuwa anamwaga Byabato katika Mchakato wa kura za maoni Bukoba Mjini , hii inaonesha kutumbuliwa kwake kama naibu waziri lazima kuna namna.

Now and then

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
617
Reaction score
1,722
Mchakato wa kutafuta Mgombea Ubunge Pale Bukoba Mjini uligubikwa na hujuma kutoka kwa Byabato .


Pamoja na kwamba Byabato hakuwa sehemu ya wagombea Ila alikuwa akimwaga pesa ili kushinikiza Mbunge anayemtaka yeye na sio ambaye anakubalika na chama na wananchi.


Swali la kujiuliza hizi Pesa anapata wapi ?

Naomba achunguzwe
 
Mnashindwa kuzoa hela zinazomwagwa mnakuja kulalamika...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…