Heh Kumbe Sipendwi mie Happy Bday FL1

Heh Kumbe Sipendwi mie Happy Bday FL1

Happy birthday mamii, nakutakia afya njema na furaha maisha yako yote. Ndio umetimiza miaka desh desh eeh? Jitahidi unifikie. Lol
 
Happy Birthday FL1! Mungu akupe Maisha marefu na yenye heri hapa Duniani.
 
happy b/day fl1.
Sasaaaa......kama jamaa hayupo hapo, duh....sasaaaa....ngoja kwanza, kwani hapo mpaka hapa kahama ni mbali sana? Hebu chagua mwenyewe....nije au uje kukamata zawadi yako.
 
How did I miss this?
Happy Birthday First Lady,
May you have many more, filled of joy and blessing!
Kiss!
 
happy b/day fl1.
Sasaaaa......kama jamaa hayupo hapo, duh....sasaaaa....ngoja kwanza, kwani hapo mpaka hapa kahama ni mbali sana? Hebu chagua mwenyewe....nije au uje kukamata zawadi yako.

hahahha Bigirita nani kakwambia mie ni miner ?
mie nachagua uje:biggrin:
 
Adii nimepata suprise mpaka chozi limenitoka ,mbarikiwe wote wapenzi
 
Happy Birthday FL1
May you Live Longer Sound, Healthy and Happy

HB IstLady.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom