Heh Kumbe Sipendwi mie Happy Bday FL1

Mhhh napita tuu hapa fasta
Ila hebu ngoja nisimame niseme kitu
Happy Birthday FL
Mwenyezi Mungu akupe kila la heri katika maisha yako na akujalie baraka na rehema nyingi
Ufanikiwe katika kila ufanyalo na akuongezee maisha marefu yenye furaha na upendo
Once again Happy Birthday
 
Dah!

Hata sijamaliza kunyonya ziwa la pili tayari ushaninyang'anya?

Heri ya siku yako ya kuzaliwa mama wa kwanza. Tuliozaliwa January wote tutaenda Mbinguni.

Sherehe wapi?
 
birthday_cake.jpg

FL1
Nakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa,
Haki ya nani mie iko penda sana wewe!!!!!

 
Dah!

Hata sijamaliza kunyonya ziwa la pili tayari ushaninyang'anya?

Heri ya siku yako ya kuzaliwa mama wa kwanza. Tuliozaliwa January wote tutaenda Mbinguni.

Sherehe wapi?

Babu Bday yako uliifanyia chumbani

Ya kwangu bado nawaza nimeweka namba za mpesa kwenye subject hakuna hata aliyeweka Mia...
:smash:
 
Bado mbichi, atakuwa kwenye,,, Ana miaka kati ya 42 - 45(joking).
Hongera kwa kufika umri uliofikisha leo.


VA hapo nimevuka sema wazee wa siku tunaenda na wakati..

Asante sana kwa wishes ..mungu asikilize maombi yenu nione watoto wa vitukuu wangu
Amina
 
Your birthday reminds me
That I really want to say
I’m very glad I know you;
I think of you each day.
I hope you enjoy your birthday,
All the pleasures it has in store,
And because I appreciate you,
I hope you have many more!​
 
Cantalisia nikupe nini jamani ...hii keki nashindwa hata kusema
Asante sana ...
My dia hakuna neno tamu na lenye thaman km kushukuru,
So najiskia furaha na kuridhika kwa shukran yako!!!
Ila jaman sijajua mnuso wapi coz nipitia post zote hata wanafamilia sijaona km wamesema hii kitu tunaserebukia wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom