Heh Kumbe Sipendwi mie Happy Bday FL1

Mbunge mtarajiwa GM yuko wapi jamani hii ndo sehemu ya 'kupata kura'....yaani shughuli za kijamii kama hizi...akimwaga kreti moja ya ndovu aaa...mambo safi kabisa

Sweetie huyu binti sijui yuko wapi.... Nimemwambia Husny amtafute.... Alafu msome hapa chini FL1....

Dear ADI naomba usisahau hiki kinywaji
9k=



Vinywaji vyoote Sweetie is handling, Upande wa chakula nipo na Happuch, Upande wa mapambo King' na crew... Kuna linginge?

(Naomba usimpangie RR kazi yoyote ile, mtegezi hio sector itakwama..lol):gossip:
 
Hongera sana mama fl mungu akuwezeshe kuishi miaka mingi ya heri duniani
wanaokumbea miaka mingi wakumbushe wakupe na heri kuna miaka mingi ya uchungu dunian mama
all the best
 
Hongera sana mama fl mungu akuwezeshe kuishi miaka mingi ya heri duniani
wanaokumbea miaka mingi wakumbushe wakupe na heri kuna miaka mingi ya uchungu dunian mama
all the best

Ombi maalum kwako naomba ufunge na kuomba kwa naona kama Nukta imesimama haitembei

Asante sana Pdidy kwa maneno mazuri yenye faraja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom