Heh Kumbe Sipendwi mie Happy Bday FL1

Let this birthday brings you health, liveliness and joy!
happy birthday our very own 1st firstlady1...xox

 
Happy Birthday Dear FL1,

We love you dearly and appreciate you presence with Us,

I wish you the very best and May you live long,

Live in Positive Expectation and May God Bless You more,

Have a wonderful Year!
 
.....Happy birthday FL1, Mungu akujalie uishi miaka mingi, uone vitukuu, vilembwe, vining'ina........!!
 
Nawashukuruni wote kwa wishes zenu katika bday yangu
Neno kuu..
Msilipe mtu ovu kwa ovu. Angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote. Kama yamkini, kwa upande wenu, mkae katika amani na watu wote. Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao; mkiangalia sana mtu asiipungukie neema ya Mungu; shina la uchungu lisije likachipuka na kuwasumbua, na watu wengi wakatiwa unajisi kwa hilo''. ''Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu(mwachie Mungu jambo hilo linalokuletea hasira); maana imeandikwa, kisasi ni juu yangu mimi, mimi nitalipa, anena Bwana. Lakini, adui yako akiwa na njaa, mlishe; akiwa na kiu, mnyweshe; maana ufanyapo hivyo, utampalia makaa ya moto kichwani pake. Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema''.
''lakini nawaambia ninyi mnaosikia wependeni adui zenu, watendeeni mema wale ambao wawachukia ninyi.''
 
Kwa heshima iliyotukuka, nalazimika mtu mzima kutia maguu hapa na kukutakia Siha njema, na maisha marefu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom