Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,036
- 168,676
- Thread starter
- #41
Utakaso, nataka kukutakasa mwili mzima.Ombi la nini
la kufanyiwa maombi
au la nini tena.
Utakaso, nataka kukutakasa mwili mzima.Ombi la nini
la kufanyiwa maombi
au la nini tena.
Au kama wale wanaokupasua kichwa!
Utakaso, nataka kukutakasa mwili mzima.
haha haha haha hahahah Mamndenyi vitu vingine utadhani ni utani.ha ha haaa
kuna kanisa moja hapa bongo
wanawaambia wanawake waende na mafuta ya body line kwenye vile vichupa vidogooo
wakifika wanawapaka wakianzia huko chini eti wanawatakasa,
looo sijui ni wewe Bujibuji naona kama nina mashaka mashaka na wewe.
haha haha haha hahahah Mamndenyi vitu vingine utadhani ni utani.
Huyu Mungu anachezewa sana kwa kweli
Ladyfurahi, kwani ni sisi au hao manabii wa uwongo?JAMANI ACHENI MAMBO HAYA MSIMTAJE WALA KULITAJA JINA LA Mungu wenu bure shaurieni
Ladyfurahi, kwani ni sisi au hao manabii wa uwongo?
Karipio lako lingeanzia kwenye vile vijiwe vinavyojidai vya miujiza ingekuwa ni jambo jema sana.
Kuna kanisa mchungaji kawapa mimba wanakwaya wote isipokuwa mmoja tu, hiyo ni kwaya ya kina mama.
Utakaso, nataka kukutakasa mwili mzima.
Mwita Maranya,...naomba uje ujibu mashtaka, kwani Mamndenyi ananisingizia kuwa wewe unanikula mimi kabisa.
Mwita Maranya,........njoo jamani.
Mwita Maranya,...naomba uje ujibu mashtaka, kwani Mamndenyi ananisingizia kuwa wewe unanikula mimi kabisa.
Mwita Maranya,........njoo jamani.
Nabebeshwa lawama hukuuuuuuuuu........
Mwita Maranya alivyogundua kuwa mimi ni mama yake mdogo kwa Bishanga aligeuza shingo mwenyewe.
Madame B wanaitana binamu nyama ya hamu
mwaJ bado yuko shamba atarudishwa mjini atakapopata mtoto wa kiume.
Usikonde binamu Madame B unajua Mamndenyi ananitaka tena kwa nguvu zote ndo maana haachi kuweweseka kwa ajili yangu. Keshaniendea hadi mlingotini lakini njiwa aliyemtuma akaishia kugonga besela na kufa papo hapo!!!
Hata hivyo sidhani kama mabinamu tukitaka "kukulana" itakuwa haramu, ni suala la kuamua tu au sio?