Hee!!! Mchungaji.... Yamekuwa haya??

Hee!!! Mchungaji.... Yamekuwa haya??

Hawa wa namna hii si wachungaji wala mapasator, wala viongozi wa dini, bali watu ambao wameingia kwenye dini na wameamua kuitumia dini kama sehemu ya kuwaingizia kipato. Ni watu hatari kwa kuichafua kazi ya Mungu na matendo haya yana athari kubwa kwenye imani za watu maana huwajengea watu usugu (maana wengi wanaoujua ukweli huishia kuacha kuamini) ili washindwe kumtii Mungu.
Ni hatari sana.


Ndio haohao mkuu sema huyu ndo za mwizi 40 kwani hujawahi sikia jamaa hadi wanalawiti?
 
Mwita Maranya
vya binamu nyama ya hamu havizuiliki
tatizo ni Madame B kuwa binamu kwa kila mume wangu


Hilo la kukutaka tena nalo ni ngumu,
hivi unaweza kula sahani moja na baba yako mdogo Bishanga?

Usikonde binamu Madame B unajua Mamndenyi ananitaka tena kwa nguvu zote ndo maana haachi kuweweseka kwa ajili yangu. Keshaniendea hadi mlingotini lakini njiwa aliyemtuma akaishia kugonga besela na kufa papo hapo!!!
Hata hivyo sidhani kama mabinamu tukitaka "kukulana" itakuwa haramu, ni suala la kuamua tu au sio?
 
Last edited by a moderator:
Mwita Maranya
Dawa yako ipo ananitengenezea Katavi

Usikonde binamu Madame B unajua Mamndenyi ananitaka tena kwa nguvu zote ndo maana haachi kuweweseka kwa ajili yangu. Keshaniendea hadi mlingotini lakini njiwa aliyemtuma akaishia kugonga besela na kufa papo hapo!!!
Hata hivyo sidhani kama mabinamu tukitaka "kukulana" itakuwa haramu, ni suala la kuamua tu au sio?
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji ana mkono wa sweta nauogopa mie.

Mamndenyi mbona unamtafuta ugomvi mama watoto wangu mwaJ? kwa taarifa yako mimi na mama watoto wangu hakuna mtu wa kutugombanisha nae. Wewe jielekeze tu kwa Bujibuji kwakuwa bado yupo yupo sana anaweza kukufikiria japo mara moja moja kama hana nia ya kwenda safari ya mbali.
 
Last edited by a moderator:
bujibuji ana mkono wa sweta nauogopa mie.
ngariba wangu wa kienyeji Mwita Maranya aliukata mkono ule wa kuti bila huruma.
Huku akitumia akitumia zana zake alizorithishwa na mababu, panga butu, shoka butu na msumeno butu.
Maumivu yalikuwa ni makali sana, lakini yote niliyavumilia kwa ajili yako.
Siko tayari kukukosa hata dakika moja Mamndenyi wangu.
Nakupenda sana. I like the water like the river of the fish
 
Last edited by a moderator:
tena leo nimekumbuka linaitwa la kwa kabendera,
nasikia huko arusha walimtimua
akaja bongo
atua mitaa ya kwetu acha wamama walivyopakwa mafuta
nako wakamshtukia sijajua hata sasa hivi yuko wapi,

kama ndo weye useme tu mi nitakuja na mafuta ya bodi laini.

haha haha haha hahahah Mamndenyi vitu vingine utadhani ni utani.
Huyu Mungu anachezewa sana kwa kweli
 
ladyfurahia we acha tu
sisi tuliokula chumvi nyingi tumeona mengi
tena ukiambiwa utasema ni uongo au utani lakini ni ukweli
kama unataka nikuambie lilipo hilo kanisa ukapakwe mafuta mwili mzima.

JAMANI ACHENI MAMBO HAYA MSIMTAJE WALA KULITAJA JINA LA Mungu wenu bure shaurieni
 
Last edited by a moderator:
Hii habari imekaa kama vile ya kutengeneza!naona huyo mwandishi wa habari wa kiislamu ameivalia njuga!

Toeni habari zenu za kijinga na kukashifu ukristu!
 
Bodi laini inakauka haraka, njoo na girisi
tena leo nimekumbuka linaitwa la kwa kabendera,
nasikia huko arusha walimtimua
akaja bongo
atua mitaa ya kwetu acha wamama walivyopakwa mafuta
nako wakamshtukia sijajua hata sasa hivi yuko wapi,

kama ndo weye useme tu mi nitakuja na mafuta ya bodi laini.
 
ladyfurahia we acha tu
sisi tuliokula chumvi nyingi tumeona mengi
tena ukiambiwa utasema ni uongo au utani lakini ni ukweli
kama unataka nikuambie lilipo hilo kanisa ukapakwe mafuta mwili mzima.
Kwa hiyo kulijua kanisa lilipo ndiyo inaonyesha ukweli na ualisia wa hilo jambo?
 
Hii habari imekaa kama vile ya kutengeneza!naona huyo mwandishi wa habari wa kiislamu ameivalia njuga!

Toeni habari zenu za kijinga na kukashifu ukristu!
Kwanini huyo mchungaji hajakanusa tuhuma?
Au angeifungulia hiyo TV na huyo mwanamke kesi ya defamation
 
kelewuiiiiiiiiiii
Mamndenyi mie daaaah
nyota ya jaa imeniwakia leo,
ha ha haaaa
kwa maumivu uliyopata .........kwanza pole
halafu Mwita Maranya ndo nini kumkwangua hivyo bila hata huruma jamani mweee.

Ukishapona kidonda useme.

ngariba wangu wa kienyeji Mwita Maranya aliukata mkono ule wa kuti bila huruma.
Huku akitumia akitumia zana zake alizorithishwa na mababu, panga butu, shoka butu na msumeno butu.
Maumivu yalikuwa ni makali sana, lakini yote niliyavumilia kwa ajili yako.
Siko tayari kukukosa hata dakika moja Mamndenyi wangu.
Nakupenda sana. I like the water like the river of the fish
 
Last edited by a moderator:
TUKUTUKU usipate shida ya kubisha
ukitaka nitakuonyesha kwa kidole kwa kuwa mimi nafahamika sana eneo lile
sitaweza kuingia hadi ndani.

Hata waliokwisha kupakwa mafuta pale ukitaka nitakuonyesha.

Kwa hiyo kulijua kanisa lilipo ndiyo inaonyesha ukweli na ualisia wa hilo jambo?
 
Last edited by a moderator:
Dunia imekwisha jamani. Yaani kumbe kuna utapeli namna hii lol.
Mkuu naomba utazame upande wa pili wa shilingi!hivi kuna ugumu gani kwa mtu au kikundi cha watu kumtumia huyo changudoa kwa madhumuni ya kulichafua kanisa au kumdhalilisha mchungaji?
 
unakoenda siko, TUKUTUKU huku hakukufai
rudi jukwaa la wagonjwa ukawaombee watu wapone.

Hii habari imekaa kama vile ya kutengeneza!naona huyo mwandishi wa habari wa kiislamu ameivalia njuga!

Toeni habari zenu za kijinga na kukashifu ukristu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom