TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,048
Mkuu Bujibuji nakuheshimu sana!mtu anaweza akakanusha habari furani inayomuhusu ilihali anajua dhahili na shahiri kuwa habari hiyo ni ya kweli kabisa.Kutokanusha kwa mchungaji haina maana hii habari ya kweli kabisa!Kwanini huyo mchungaji hajakanusa tuhuma?
Au angeifungulia hiyo TV na huyo mwanamke kesi ya defamation
Last edited by a moderator: