Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,036
- 168,676
Last edited by a moderator:
Hawa ndio kina Rwakatare na Lusekolo
pastor anagegeda changudoakweli dunia imekwisha
na pia ananena kwa lugha za kigenina akifika church anapiga neno la mungu ile mbaya
Bujibuji, kuna mtu alinambia hata wewe ni mchungaji, ni kweli?
Kumbe ndio maana akitokeaga Mwita Maranya anajilia kiulaini kabisa
Kumbe ndio maana akitokeaga Mwita Maranya anajilia kiulaini kabisa
Kaka sijasema kuwa hii ni breaking news au current news... mi nimeona vyema tujihadhari na mushrooming churches maana hawa jamaa hawana janja nyingine isipokuwa ulaghai tuBujibuji hii skendo mbona ya muda sana na isha expire kutokana na uzamani wake. Au we ndo unaipata leo?
Umeniangusha bhana. Leta vitu current