Heche, Mtatiro na Nape on Star tv tuongee asubuhi

Yamkini Mtatiro ndiye angetoshana hapa...........naona wote hawajui maana ya tathmini
 
mwoneni tena huyu mabuga na mwanya wake ka tundu la nyuma ya ile milima miwili. Bado anazidi kuisemea ccm.
 
star tv na vyombo vingine vya habari vimelaumiwa kwa kuongelea mabaya ya cuf lkn hawaongelei mema yake.
 
Unaona huo ujinga wa huyo Paul Mabuga, kumkatisha huyo mtu kutoka Zanzibar, hadi anasema kabisa kuwa huyo mtu si wa Zanzibar, kwa sababu ati Wazanzibar wanajulikana, hivyo maneno yaliyosemwa na mtu huyo hayawezi kusemwa na mtu kutoka Zanzibar. Kamkatisha kwa sababu kasema yaliyotokea Libya yanaweza kutoka hapa nchini. Wananchi wamechoka, CCM imechafuka, Rais ameshindwa kutoa kauli juu ya matatizo kama vile ya mafuta, CCM iwafukuze wabadhirifu si kuvuana magamba, amesema Mzanzibar huyo, lakini kwa ujinga wa Mabuga anaona kuwa ni maneno yasiyopaswa kuzungumzwa kwenye tv yao ya STAR TV. Bullshit. Nonsensical.
 
Mtaangazaji wa mwanza anaatuonyesha unafiki kwa kuwakatiza wapiga simu wanaoisema ccm,je maudhui ya kipindi ni kuisaidia ccm kujielewa au?
 
Kiongozi wa CUF inaonyesha mdini sana huyu, amesema kipindi cha uongozi cha Nyerere na Mkapa taasisi za kijamii (nadhan akimaanisha za dini zaidi) zilikaa kimya na nchi kutawalika lakini kipindi cha Mwinyi na sasa Kikwete taasisi za kijamii zinaongea sana na nchi haitawaliki....nadhani chama chao kinadidimia kwa sababu mawazo ya viongozi wao wa kitaifa ndo kama haya.
 
Yamkini Mtatiro ndiye angetoshana hapa...........naona wote hawajui maana ya tathmini

Kweli ndiyo maana nilisema kuwa wanajibu wasivyoulizwa, ama hawajui, ama hawana majibu ama hwajui wajibu nini. Lakini mtangazaji aliyeko Dar angeweza ku-guide the topic on the table!
 
Kiongozi wa CUF inaonyesha mdini sana huyu, amesema kipindi cha uongozi cha Nyerere na Mkapa taasisi za kijamii (nadhan akimaanisha za dini zaidi) zilikaa kimya na nchi kutawalika lakini kipindi cha Mwinyi na sasa Kikwete taasisi za kijamii zinaongea sana na nchi haitawaliki....nadhani chama chao kinadidimia kwa sababu mawazo ya viongozi wao wa kitaifa ndo kama haya.

Yeah yeah yeha ni kweli. Lakini uweso wake pia mdogo sana. Huyu ndiye alikuwa anaongoza ati kamati ya kumhukumu Hamad Rashid
 
Heche amekosea kidogo au amesahau, si HAI ni katika Halmashauri ya KARATU. Mwaka 1995/2000 nafikiri, huku CCM kikiwa chama cha upinzani katika eneo hilo, CHADEMA kikiwa chama tawala, kwa maana ya kuongoza halmsahauri ya wilaya, kufuta kodi ya kichwa katika halmashauri iliyokuwa chini yake, chini ya ,Mbunge Dr. Willbrod Slaa, wakati wa utawala wa Mkapa. Mkapa akachukua hiyo kama case study ya kufuta kodi ya kichwa nchi nzima, ingawa awali katika CCM yao walisema haiwezekani.

Ni kama vile Kikwete alivyochukua aideas za kujenga zahanati kila kijiji kutoka huko huko Karatu. Lakini serikali yake imeshindwa ku-implement kwa ufanisi kwa sababu haikuwa initiative yao. Ni kama walivyoiba idea ya CHADEMA ya kuifanya Dodoma Centre of Education ili kuendesha uchumi wa mji/,koa huo, badala ua kung'ang'ania issue ya makao makuu, zaidi ya miaka 30 sasa. Kama kawaida yao they never appeal kuwa wamechukua ideas za chama mbadala, serikali in waiting, CHADEMA.
 
mabuga wa star tv ni mnafiki sana na pia ana uwezo mdogo wa kudadavua mambo,
sijui kwanini wanampaga session nyeti kama hizi
 
mabuga ni mnafik na pia ana uwezo mdogo sana wa kudadavua mambo, anasema eti wananyukana,

sijui alikua anamaanisha nini, bora yule dogo aliyekua
 
Back
Top Bottom