Heche, Mtatiro na Nape on Star tv tuongee asubuhi

Wananchi washirikishwe katika miradi mbalimbali mfano kule hawajashirikishwa ndio Mheshimiwa mbunge Godbless Lema anapigia upuuzi uliofanywa na madiwani wa ccm na meya wao
 
Kama huyu Abdalla Kambaya ndiye aliongoza anaongoza kamati ya Nidhamu ya CUF, basi wanamlima mrefu wa kupanda ili kukijenga Chama. Hoja zake haziweki wazi. Anadai pamoja na mazuri mengi ya Nyerere pia kulikuwa na makosa na kasolo nyingi sana lakini hakukwa na kelele wala malalamiko toka vyama vya jamii, wakati wa Mzee Mwinyi kulikuwa nambo mazuri mengi mapaka watu wakamwita Ruksa lakini kulikwa na malalamiko na matusi mengi hasa kutoka kwa wanavyo, akaja mkapa pamoja na mikataba ya ovyo, EPA, Rada, hakuwkuwa na chokochoko, lakini sasa JK mandamano na fujo kila kona.
Naamini kwa mtazamo wake andhani Watanzania wanaandamana, kulalamika kwa sababu JK Na Mwinyi ni Waislam na Wanatulia Wakati Wakristu wanaongoza (Nyerere na MKAPA).
 
Natamani Mdahalo wa Hamadi Rashidi,Kafulila na Shibuda wawe studio za Dar afu Mwanza Kuwe na Wasira,Mbatia na Halima Mdee. Tahadhali kwa studio za Dar nje kuwa na Kamanda mstaafu Tossi kama security incharge
Sijui itakuwaje
 
Back
Top Bottom