EFM vs CHADEMA, ni Ubunifu wa kufukuza Wateja (Wasikilizaji). Media ndogo Jifunzeni Star tv kwa Mzee Diallo wa CCM

Majjizo ameponzwa na wajinga kama Masanja na Lile limama Irene ambao always wameonyesha kuiona CCM kama kimbilio lao na kuitukana Chadema au kuikashfu kwa kutumia mic za EFM.
Sasa Majizo ajue wapo market managers, CEO na viongozi wengine wa kampuni kadhaa wameona ni upuuzi kupeleka matangazo kwa kituo kama hicho.
Bangladeshi!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kituo cha Radio kinaposhindana na Chama Cha Siasa tena Kikuu cha Upinzani ni Ubunifu uliofeli kabisa

Vyombo vya habari vidogo vidogo jifunzeni Star TV kwa Diallo na vijana wake Mtozi na Odemba

Mlale unono 😀😀
Hakuna aliyepambana Na Chadema akabaki salama.

Clouda ilipotea.

Wasafi wameanza kushtuka sema bado Woga tu ila wanajua Ngvu ya Chadema linapokuja swala la Media Platforms
 
Sahara Media kama imekufa kwa sababu ya siasa basi ni siasa za ndani ya CCM za makundi ya wasaka urais wala siyo upinzani.

Hao jamaa mna wa- overrate tu,ingekuwa hivyo basi ASAS na Vodacom wangeshafutika maana kumewahi kuwepo kampeni ya kususia bidhaa na huduma zao lakini wanapeta tu.
 
Mnawakuza bure tu hao CHADEMA wakati Ni kagenge fulani ka madalali wa siasa. Kipindi fulani walilishana ujinga kuwa wasuse na kutupa laini za voda .cha ajabu baada ya muda kidogo wakawa wanaomba michango kwa watu halafu hapo hapo wakawa wameweka namba ya Vodacom kwa watumiaji wa mtandao wa Vodacom waweze kutuma pesa. Sasa nikajiuliza na wengine pia wakajiuliza kuwa hivi kwanini CHADEMA wanakuwa na akili ndogo kuliko hata nyumbu wenyewe? Si waliwaambia watu watupe laini? Sasa mbona wao hawajatupa na badala yake wameweka namba ya Vodacom kwa ajili ya kupokelea michango?

Kwa hakika CHADEMA akili zao wanazijuwa wenyewe na muda gani zinafanya kazi wanajuwa wenyewe. CHADEMA ni kama nyumbu tu.

Nakala kwa. Erythrocyte
 
Kituo cha Radio kinaposhindana na Chama Cha Siasa tena Kikuu cha Upinzani ni Ubunifu uliofeli kabisa

Vyombo vya habari vidogo vidogo jifunzeni Star TV kwa Diallo na vijana wake Mtozi na Odemba

Mlale unono 😀😀
Hawa juzi waliyakanyaga kwa kumfanya Masanja ni sana la Majizo , ambapo ndo kipindi tu imezinduliwa sanam waliodai ni sura ya Mwalim , vyovyote watakua wameonywa

Nao wakaona kuweka mambo sawa waje na ujinga huu kwa chadema ,

Kitawalamba
 
🚮
 
Lakini huu si ndio uhuru wa maoni jamani? Watu wamefanya igizo nyie mmetafsiri yani chadema mnataka kuungwa mkono na watanzania wote? Uko wapi huo uhuru wa maoni ?
 
Hawa juzi waliyakanyaga kwa kumfanya Masanja ni sana la Majizo , ambapo ndo kipindi tu imezinduliwa sanam waliodai ni sura ya Mwalim , vyovyote watakua wameonywa

Nao wakaona kuweka mambo sawa waje na ujinga huu kwa chadema ,

Kitawalamba
Kwanini mnataka msifiwe tuu? Mtatawala nchi gani ninyi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom