Yamkini Mtatiro ndiye angetoshana hapa...........naona wote hawajui maana ya tathmini
Huyu ni nani chadema....nape ambaye ni katibu mwenezi wa ccm na mtatitiro wa chadema wapo live now star tv tufuatilie mjadala
star tv na vyombo vingine vya habari vimelaumiwa kwa kuongelea mabaya ya cuf lkn hawaongelei mema yake.
Yamkini Mtatiro ndiye angetoshana hapa...........naona wote hawajui maana ya tathmini
Huyu ni nani chadema....
Kiongozi wa CUF inaonyesha mdini sana huyu, amesema kipindi cha uongozi cha Nyerere na Mkapa taasisi za kijamii (nadhan akimaanisha za dini zaidi) zilikaa kimya na nchi kutawalika lakini kipindi cha Mwinyi na sasa Kikwete taasisi za kijamii zinaongea sana na nchi haitawaliki....nadhani chama chao kinadidimia kwa sababu mawazo ya viongozi wao wa kitaifa ndo kama haya.
mtatiro wa chadema?
Mkuu Mtatiro hayupo hapo wapo John Heche(BAVICHA),Nape CCM na kiongozi mmoja kutoka CUF lakn si Mtatiro
mjadala wenyewe hauna mvuto MTU HAWEZI KUJIELEZA VIZUR KUTOKANA NA UFINYU WA MUDA,