Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
Mtasema saana mwaka huu sijui kama mtachomoa, mtanange wa CDM ni noma saana!!!!!!!! Mpaka mkae darasani kujifunza mbinu mpya sio kukurupuka mnazidi kupoteza dira!!!!!Mnaingia vizuri kwenye mitego ya wakombozi!!!!!Bila Lema? bila Slaa na silaha yake? bila Mbowe (maana nasikia kaingia mitini), bila Zitto (maana nasikia ana soo na Mbowe), bila Lissu maana nasikia hataki mambo yasiokuwa ya kisheria.