Heche atangaza maandamano Dar kesho, Polisi yapiga marufuku!

Rejao bwana huwa unanifurahisha, yaani wewe unakaa unanusa sred za cdm tu na kuzi-crash! inaonekana kweli umemeza maji ya bendera ya kijani. mwenzio mwita keshajisalimisha, bado wewe, FF na malaria sugu. mtapata akili lini?

anapewa posho ili aje humu ku crash thread za cdm. Hana lote na hanaga hoja.
Shame on u Rejao
 
Ha! Ha! Ha! Kila siku nasema Chadema Dar es Salaam wapo Kimara Temboni na Kimara Bonyokwa..

Kwa hiyo maandamo yanaanzia Kimara Baruti yanaishia Kimara Bonyokwa

sasa tunakupa cheti kukuthibitisha kuwa umefuzu taaluma ya utabiri

na kuanzia leo unakuwa mrithi wa shehe yahaya.
 
Kwa wale wote ambao mnabeza haya maandamano basi yafaa msubiri tuone kama yatafanikiwa au vipi maana kama kweli yameruhusiwa na Polisi na kama hawatafanya hujuma na taarifa zao za kintelijensia basi tutapata wasaa mzuri wa kutoa tathmini yetu baada ya kuwa yamefanyika.

Kwa sasa tunajua fika kuwa wananchi wamechoka na hali ngumu ya maisha hivyo kwa wananchi wenye mapenzi mema na nchi hii wataandamana tena kwa wingi.
 
Wana JF

Muda mfupi uliopita makao makuu CDM , Mwenyekiti wa vijana Taifa John Heche Suguta amengaza maandamano makubwa Dar es Salaam kesho asubuhi kuanzia eneo la kimara.

Yeye pamoja na makamanda wengine walikuwa na mkutuna na wanacha wa CDM makao makuu.

Yana baraka ya Polisi?
 
Ha! Ha! Ha! Kila siku nasema Chadema Dar es Salaam wapo Kimara Temboni na Kimara Bonyokwa..

Kwa hiyo maandamo yanaanzia Kimara Baruti yanaishia Kimara Bonyokwa

Ndoto za mchana mbaya sana,mbunge wa kawe katoka ccmagamba aka wazee wa mipasho!
 
sasa tunakupa cheti kukuthibitisha kuwa umefuzu taaluma ya utabiri

na kuanzia leo unakuwa mrithi wa shehe yahaya.

Kuna Kontena zima la Yebo Yebo zilikusanywa pale uwanjani, Unga Limited utachukuwa?
 
sisi tutaandamana tu ww au ninyi mbaki mnaibiwa mnasema eti yetu majicho fikiria sana kabla hujatokea kwenye jf
 
Watafute barabara za kupita huko pembezoni vichochoroni, Morogoro Rd iachwe iendeleze kazi za kiuchumi.
 
Kuandamano mara nyingi kutawaongezea kesi hasa kwa viongozi wa cdm katika nchi hii ambayo haipendi democrasia hasa kwa chama kinacholeta chalenge kwenye uongozi cha msingi ni kufafuta suluhisho ambalo halitaathiri wananchi na pia viongozi. Nchi nyingi ambazo huleta mabadiliko huwa wameshajiandaa kwa mda mrefu au wanapata usaidizi kutoka nje ya nchi yao mfano Libya n.k.
 
Asante John Heche naunga mkono maandamano yafanyike Dar walau uku Arusha tupumzike tumechoka kila siku Arusha kwani Dar,Mwanza,Mbeya,Dodoma,Kigoma si Tanzania.

Wana JF

Muda mfupi uliopita makao makuu CDM , Mwenyekiti wa vijana Taifa John Heche Suguta amengaza maandamano makubwa Dar es Salaam kesho asubuhi kuanzia eneo la kimara.

Yeye pamoja na makamanda wengine walikuwa na mkutuna na wanacha wa CDM makao makuu.
 
Rejao bwana huwa unanifurahisha, yaani wewe unakaa unanusa sred za cdm tu na kuzi-crash! inaonekana kweli umemeza maji ya bendera ya kijani. mwenzio mwita keshajisalimisha, bado wewe, FF na malaria sugu. mtapata akili lini?

huyo sasa hivi hana jipya kwisha habari yake.
Faiza Foxy na yeye yupo tayari ku surrender naona jana kuna thread ilianzishwa na uhuru 1 ilimgusa kwelikweli....
 
hatukatai watu kuandamana but what is behind maandamano is even more important kuliko kupangana tu barabarani,ni vema ukatupa details za nini hasa dhima ya maandamano hayo,sababu zilizowasukuma kuandamana na ujumbe mnaotaka kuufikisha kwa jamii kwa hayo maandamano,mkiwa na mantik katika haya mtapata suport bt without clarifications ni vigumu kuingia barabarani kizembezembe2
 
Wana JF

Muda mfupi uliopita makao makuu CDM , Mwenyekiti wa vijana Taifa John Heche Suguta amengaza maandamano makubwa Dar es Salaam kesho asubuhi kuanzia eneo la kimara.

Yeye pamoja na makamanda wengine walikuwa na mkutuna na wanacha wa CDM makao makuu.

Hali tete Al shabab wanajiandaa kushambulia maandamano hayo subilini Kova atangaze kikosi cha lntelejinsia kimegundua
 
Nyie msio jua kesho yenu ikoje andamaneni, kwani matarajio yenu ni kuvamia maduka na kupora mali za watu. lakini ageni kabisa familia zenu kwani inawezekana usirudi na ukifaulu kurudi jua kuwa utakuwa tegemezi mpk kifo chako, hata kwenda chooni utaomba msaada.
 
Back
Top Bottom