inawezekana mkewe hakua anajua zaidi ya alichoambiwa na mumewe (wanaume wengine hawasemi siri zao zote kwa wake zao)..kuna chombo cha habari asubuhi wamesema,mkewe alienda naye mpaka hotelini lakini marehemu alionekana kutaka kuwa peke yake hivyo mkewe akarudi nyumbani..
ni kweli mke alitakiwa kutoa taarifa polisi..japo polisi nao hawaaminiki sana
hapo kwenye red panahusika zaid....ndoa nyingi zina usiri na hili matokeo yake ni mbaya sana
angetoa taarifa kwa polisi ingesaidia na kuondoa utata jopokuwa hawa polis wenywe hawaaminiki kama anavyodai
hahahha Endeleza huo mtanange miss neddyilianzia kwa Vaislay kwa kukoment tuwe tunaoa wake wasomi wajua penye elimu lazima bongo ichemke kwa huyo mama hatujui chochote kuhusu yeye
kwa jamii yetu, hili halipingiki.......Nahofia ndugu wa marehemu kuanza kutoa lawama kwa huyu mwanamke kwanini hakutoa taarifa polisi.
Ni kweli rafiki, litamtesa sana.......Rafiki Fixed Point mie nakubaalina nawe, mkewe baada ya kumuona mumewe katika hali aliyokuwa nayo na pia kuambiwa kwamba anahofia kuna watu wanataka kumtoa roho yake asingemuacha akalale peke yake kule hotel. Pamoja na kuwa ni mwanamke lakini kuuwa watu wawili si rahisi lazima wangepiga kelele na labda muuaji/wauaji wangeshindwa kukamilisha adhma yao. Hili la kumuacha mumewe akalale hotel pekee yake litamsononesha kwa kipindi kirefu.
nakubali mawasiliano ni chachu ya mahusiano kumea na kustawi vizuri lakini kwa mtazamo wangu mimi binafsi elimu ni muhimu kwenye mapenzi inategemea unatoka na mtu wa aina gani mfano degree holder na lasaba hapo penzi kustawi ni ngumu mmojawapo lazima ajihisi anaburuzwa
mambo mengine yanaongeza maswali juu ya maswali.......Nooop.
Unafikiri kama mwanamke hakuwa anajua au kuambiwa kinacho endelea angeitwa kule hotelini pamoja na rafiki wa mumewe?
Katika hili hakukuwa na siri kati yao, ni wazi mke alikuwa anajua kinacho endelea na ndoa maana mwanzo alimwambia kuna watu wana ni winda, unafikiri hakumuuliza ni akina nani na kwa sababu zipi? hebu vaa viatu vya huyo mwanamke alaf mumeo ana kwambia kuna watu wana ni winda,wewe utasemaje? auto uliza swali lolote? Mwanume alikuwa na imani kubwa na mkewe(kutokana na habari husika)
kuna sehemu hesabu zinakataa kabisa....... hata uwe mtaalamu wa kukokotoa kiasi gani....... Very badSuala la usalama wa mtu anayewindwa ni very tricky, kibao wanatoroka makwao kwenda kulala kwingine. Sema tu kalkulesheni zake zilibug meen.
Afu upande mbaya zaidi, marhemu hakuwa na back up ambayo wauaji wangeiogopa.
Hapana mimi sio msomi
hahahha Endeleza huo mtanange miss neddy
Its a milion dollar question..labda wauaji ni polisi? Labda aliamini baada ya few days ata solve tatizo...labda mke hakuwa na Upeo wa masuala haya..labda labda
Ngoja nisiseme chochote ila sikubaliani na hili
Ingawa labda pia isingesaidia.....labda ingeweza sababisha majanga makubwa zaidikwanini aliamua kwenda kulala pekeyake hotelini ..angeenda basi na mkewe jamani.
kwa mtazamo wako haviusiani kwangu vinausiana elimu na hekima vinaenda sambamba elimu inaongeza maarifa kaa ukijua hilo
Suala la usalama wa mtu anayewindwa ni very tricky, kibao wanatoroka makwao kwenda kulala kwingine. Sema tu kalkulesheni zake zilibug meen.
Afu upande mbaya zaidi, marhemu hakuwa na back up ambayo wauaji wangeiogopa.