Hebu tushauriane kidogo

elimu inanoa maarifa u know waweza kuwa umepewa hekima changanya na shule kidogo ubongo huwa haulali inapotokea ishu tata kama hiyo

..katika mahusiano yoyote, kitu cha msingi Ni mawasiliano na wala sio usomi unaouzungumzia wewe, yawezekana ndoa Yao haikuwa na mawasisiliano mazuri na ndio ikapelekea yote hayo kutokea, yawezekana pia sababu ya kutokuwa na mawasiliano ulya kutosha, mume alikuwa msiri,pia inawezekana mume alikuwa mbabe hakutaka mke afanye lolote..lack of communication inaathiri ndoa nyingi na wala sio usomi mnaouzungumzia..
 

waku paniki sio nyamayao, kama umenisoma nime paniki nikujulishe tu sija paniki.
 

Ni kweli usemao,uncle wangu alikufa,mkewe hana taarifa,maiti ikawa amana hosp.mamkubwa alivyoenda kwa aunt kumwambia msiba,akamuulizia km mumewe anajua alipo,akajibu,toka juzi hajarud,akamuulza ni kawaida yake,aunt akasema hapana,wakaulizwa mlimtafuta wakakataa,ila walikuwa wana mgogoro,akaambiwa mmeo yupo Amana mochwari.
 
Last edited by a moderator:
Well said Eli...... nilisema hilo sehemu na nimewaomba sana wanandoa kujaribu kuwa na wasiliano mazuri na wenzi wao
 
baadhi yao hapa tunajadili tu labda ingekuwa moja mbili tatu mambo yangekuwa tofauti hii ni dhana lakini maji yameshamwagika hao wanaoburuzwa bungeni nani kawaweka si mimi,wewe na yule wa kulaumiwa si wao ni sisi
 
hapo waweza zimia hata kama mlikuwa na mgogoro
 
waku paniki sio nyamayao, kama umenisoma nime paniki nikujulishe tu sija paniki.

sasa the way ulivyo comment kwa kusema watu wengine ni ovyo kabisa na tuwe tunaangalia ya kuongea hapo ulimaanisha nini
 
baadhi yao hapa tunajadili tu labda ingekuwa moja mbili tatu mambo yangekuwa tofauti hii ni dhana lakini maji yameshamwagika hao wanaoburuzwa bungeni nani kawaweka si mimi,wewe na yule wa kulaumiwa si wao ni sisi

Basi nikuambie tu mdogo wangu, Elimu kwenye mapenzi sio kigezo sana, kikubwa "mawasilino mazuri"
 
Na unaweza usiwe na shule ukawa na hekima kuliko mwenye shule and viceversa. Hamna application ya degree kwenye mambo kama haya

huu ni mtazamo tu ni kama dhana yaweza kuwa usemayo ni sahihi na kwa upande mwingine si sahihi
 
kweli yaani..ni kumuombea tu apite salama katika hili jaribu lake
 

Inawezekana pia aliambiwa siri zote na mumewe kinaga ubaga...lkn km siri hizo kubwa zilizomuondoa mumewe uhai yy a ki admit km anazijua watamuacha kweli??
Mungu amvue salama Ajilelee watoto zake
 
huu ni mtazamo tu ni kama dhana yaweza kuwa usemayo ni sahihi na kwa upande mwingine si sahihi

Kikubwa ni kwamba havihusiani....hekima ni kipwawa mtu anazaliwa nacho plus experience
 
Inawezekana pia aliambiwa siri zote na mumewe kinaga ubaga...lkn km siri hizo kubwa zilizomuondoa mumewe uhai yy a ki admit km anazijua watamuacha kweli??
Mungu amvue salama Ajilelee watoto zake
yote yanawezekana.
hata kama ni mimi sisemi ng'o. Tena najifanya kuwa huwa haniambii kabisa habari za ofisini
 
sasa the way ulivyo comment kwa kusema watu wengine ni ovyo kabisa na tuwe tunaangalia ya kuongea hapo ulimaanisha nini

hapa tunamuongelea mfiwa, mfiwa aliefiwa kwenye mazingira ya utata na ukute ana uchungu mkubwa, hakuna anaejua amesoma/hajasoma, na kama alisoma angewezaje kuzuia hii kitu isitokee? kwasababu moja ya comment yako inaonyesha kwamba unadhani elimu ingeweza kumsaidia hili lisitokee, kivipi sasa? hakuna jibu kamili.
 
Basi nikuambie tu mdogo wangu, Elimu kwenye mapenzi sio kigezo sana, kikubwa "mawasilino mazuri"

nakubali mawasiliano ni chachu ya mahusiano kumea na kustawi vizuri lakini kwa mtazamo wangu mimi binafsi elimu ni muhimu kwenye mapenzi inategemea unatoka na mtu wa aina gani mfano degree holder na lasaba hapo penzi kustawi ni ngumu mmojawapo lazima ajihisi anaburuzwa
 

kwenye suala hili ngoja tuishilie hapo!
 
Kikubwa ni kwamba havihusiani....hekima ni kipwawa mtu anazaliwa nacho plus experience

kwa mtazamo wako haviusiani kwangu vinausiana elimu na hekima vinaenda sambamba elimu inaongeza maarifa kaa ukijua hilo
 
kumuacha kulala hotelini peke yake inategemea jinsi wanavyoishi, wanavyoaminiana wao wenyewe, na kwa vile alishamuita mke wake na tena hoteli ipo karibu na nyumbani mke asingeweza kuwa na wasi wasi na mme wake. mimi nadhani huyu ndugu aliyejiua ana siri anayoijua yeye mwenyewe. inaweza kuwa shinikizo la nje, au kuhusika na hayo mapungufu yaliyojitokeza kwenye kikao cha kamati sasa kuona isiwe shida au lisije tokea basi ngoja niondoke. My TAKE: Hakuna amani kwa waovu (biblical), kuna faida kubwa sana mtu kumcha Mungu. maana kama unamjua Mungu kisawasawa huwezi jiua! labda watu wakuue sio ujiue no matter what happens. ndo maana kuna majaribu.
 
hii ni kama unaamini alijiua, vipi kwa wanaoamini aliuawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…