Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #81
tunatofautiana sana.......what if marehemu alimkataza mkewe asireport popote akiamini angeweza kutatua tatizo?
unanionea.....
mimi nimeongea lolote kuhusu level ya elimu?
huyo mama mimi namjulia wapi?
tunatofautiana sana.......
kama ningemkubalia nisiripoti basi nisingemkubalia akalale nje ya nyumbani maana ningeamini kuwa ni mambo yatakayosuluhishika.
soma post yangu ya mwanzo.....hahaha came on madame tulijua labda wajua chochote kuhusu huyo mama
huyu mwanamke mnamjua? mnajua hajasoma? mnajuajae kwamba hawakushauriana labda mwanaume akataka abaki mwenyewe hotelini? elimu imeingiaje kwenye hichi kifo cha utata hivi jamani mbona mie sielewi?
Yawezekana..........kuna waume wakorofi, wana maamuzi wanachosema wao ndicho hicho wanataka kitekelezwe.
soma post yangu ya mwanzo.....
naongea kutokana na uzi ambao nimeusoma.....
na sijasema popote kama naijua hii familia, tunaongea tu sababu ni mambo ambayo yanatokea mara nyingi
na kama angenisoma nilishasema kuwa hapa sijui kama elimu ina-hold, kinatotakiwa ni mawasiliano.hapo na mie nimeshangaa alieingiza elimu mwingine anaulizwa mwingine,watu wengine bwana, yaani kweli unasema angekuwa na elimu ingesaidia kwenye hili, huyu baba nadhani alikuwa na elimu mbona hakujisaidia? watu wawe wanaangalia na la kuongea, ovyooo kabisa,uchungu anaoupitia huyu mama anaujua mwenyewe kwa sasa!
Muoe wanawake wasomi.....wanaupeo
hakina usomi sawa lakini kidogo mwanamke alieenda shule anajiamini sio muoga so mnaweza kushauriana nini kifanyike kuepusha shari
Unadhani wangekuja nyumbani wangeacha mtu?..issue za mabilion ya pesa kuliwa na watu sio za kufanya mzaha.
ndio maana tunajadili, tungekuwa tunajua wala kusingekuwa na sababu ya mjadala.....Hapa tutasema tu mara hivi mara vile ila kifo ndo kilivyo ni undefine huwezi jua labda walishauriana na mkewe ndo wakaona ndo best solution ila sie hatujui kipi chanzo hatuwezi kuelewa kabisa kwanini ilikuwa hivyo
kweli kabisa Nyamayao
Hapa tutasema tu mara hivi mara vile ila kifo ndo kilivyo ni undefine huwezi jua labda walishauriana na mkewe ndo wakaona ndo best solution ila sie hatujui kipi chanzo hatuwezi kuelewa kabisa kwanini ilikuwa hivyo[/QUOTE]
kabisa.....wishing what you would have done is one thing ..being in those shoes,is another thing...
mbona umepaniki fixed pointi ni mtoa mada so sikujua kwamba hajui chochote nilidhani kwamba aweza kuwa na tetesihapo na mie nimeshangaa alieingiza elimu mwingine anaulizwa mwingine,watu wengine bwana, yaani kweli unasema angekuwa na elimu ingesaidia kwenye hili, huyu baba nadhani alikuwa na elimu mbona hakujisaidia? watu wawe wanaangalia na la kuongea, ovyooo kabisa,uchungu anaoupitia huyu mama anaujua mwenyewe kwa sasa!
kuna sehemu nilisema namwonea huruma sana, yaani najua yupo katika wakati mgumu sana.na huyu mwanamke mwenzetu unaweza kuta na yeye sasa hivi yupo kwenye majuto, kwamba kwanini aliondoka pale hotelin, kwamba kwanini hata baadae katikati ya usiku sikwenda kumwangalia mume wangu anaendeleaje, au walipigiana simu kujuliana hali kabla ya tukio au ndio kila mmoja alijilalia? huyu mwanamke ana uchungu/majuto/masikitiko makubwa.
ilianzia kwa Vaislay kwa kukoment tuwe tunaoa wake wasomi wajua penye elimu lazima bongo ichemke kwa huyo mama hatujui chochote kuhusu yeye