Uchaguzi 2020 Hebu tuambizane ukweli, Magufuli anatumia kigezo gani kusema atashinda Uchaguzi?

Kwani alikwishasema vitu vya maana huyo zaidi ya kutamka"mwanamke"
 
Kinachoifanya ccm kuendelea kuwepo madarakani kama bado kipo basi ni lazima Magufuli awe na uhakika wa kushinda uchaguzi,maana miaka yote tunaambiwa ccm inaiba kura na hata vyama vya upinzani vilipoungana bado ccm ilishinda sasa ndio itakuwa sasa kila chama kinapambana kivyake? hivyo Magufuli lazima ajihakikishie kushinda maana hakuna kilichobadilika silaha zao za ushindi.
 
Kigezo anachotumia kusema kuwa atashinda uchaguzi ni hiki hapa
JamiiForums2000245234.jpg
 
Mgombea urais wa CCM, Magufuli anadai kwenye kampeni kuwa atashinda uchaguzi. Je, anatumia kigezo gani?

Kwenye mikutano yake ya kampeni anawaambia wananchi kuwa wamletee diwani na wabunge wa CCM eti yeye atashinda tu, Je, anatumia kigezo gani?

Anadiriki kuwaambia kuwa wasipochagua wabunge wa CCM hatawaletea maendeleo. Je, maendeleo yana vyama?

Akiwa huko Musoma alidiriki kusema kuwa hajamaliza muda wake wa uraisi hivyo atawaongezea mshahara watumishi kabla hajatoka madarakani, je anaongeza mwezi Oktoba? Ana uhakika gani kama atashinda Oktoba hii?

Kama hajamaliza muda wake, kwanini anapiga kampeni?
Anaingia na mtaji wake wa 2015 na kisha UTENDAJI BORA kwa miaka mitano anayomalizia. Wenye chuki banafsi ni WACHACHE SANA kiasi ambacho hakimshtui mtu!
 
Back
Top Bottom