Uchaguzi 2020 Hebu tuambizane ukweli, Magufuli anatumia kigezo gani kusema atashinda Uchaguzi?

Mgombea urais wa CCM, Magufuli anadai kwenye kampeni kuwa atashinda uchaguzi. Je, anatumia kigezo gani?

Kwenye mikutano yake ya kampeni anawaambia wananchi kuwa wamletee diwani na wabunge wa CCM eti yeye atashinda tu, Je, anatumia kigezo gani?

Anadiriki kuwaambia kuwa wasipochagua wabunge wa CCM hatawaletea maendeleo. Je, maendeleo yana vyama?

Akiwa huko Musoma alidiriki kusema kuwa hajamaliza muda wake wa uraisi hivyo atawaongezea mshahara watumishi kabla hajatoka madarakani, je anaongeza mwezi Oktoba? Ana uhakika gani kama atashinda Oktoba hii?

Kama hajamaliza muda wake, kwanini anapiga kampeni?

Tuhuma kubwa aliyoveshwa Lissu na daktari Mahera ni kuwa anajitangaza kuwa atashinda uchaguzi.

Mbona tuhuma kama hizo hajashutumiwa nazo jiwe? Jibu ni rahisi - double standard!
 
numbers dont lie
1601380613155.png
 
Tume wenyewe wanasema wananchi wanataka barabara na sio blah blah... watamtangaza nani.
Upinzani ni kama yatima anayeishi nyumba moja na watoto wa tajiri anayemlea.

na ni yatima kweli kweli, umeona ile ofisi ya ufipa juzi? yaani ni yatima ++
 
Mgombea urais wa CCM, Magufuli anadai kwenye kampeni kuwa atashinda uchaguzi. Je, anatumia kigezo gani?

Kwenye mikutano yake ya kampeni anawaambia wananchi kuwa wamletee diwani na wabunge wa CCM eti yeye atashinda tu, Je, anatumia kige kozo gani?

Back
Top Bottom