Ms Judith
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 2,563
- 918
- Thread starter
- #21
mmmh mimekuelewa sana mpz lkn unadhani ww hasa ni sababu ya wao kurudiana? walikuwa wanapendana hao na its only a mata of time and time heals everything,jamaa alikuwa bado in dilema lkn kiukweli anampenda mkewe,angekuwa na nia na ww hasaaaaa,wala hata sim asingepiga kwa huyo mkewe sema tu matatizo yalimfanya aje na gia ya kukuoa.lkn kiukweli ulitakiwa kustuka mapemaaaaaaaaaaaa,wengi tunao mtaani,marafiki zetu,ndugu zetu etc ugonjwa wa mapenzi ni mby sana na wala hauna tiba!
kweli kabisa da pearl yote hayo yanawezekana na namshukuru Mungu sana na vyovyote vile ndio siri ya furaha yangu. hebu jiulize wasichana wangapi wameingia mkenge kwa gia kama hizo? kwa nini mimi nisifurahi?