Hebu Sikieni Furaha Yangu

Hongera judi kwa busara ulizojaaliwa ila njia uliyotumia kumkataa jamaa haikuwa nzuri na naona umetuzuga. Umesema jamaa ulikuwa humtaki na ulikuwa unasoma. Vipi kama mkewe angekataa katakata, wewe ungemkubali huyo jamaa?
 
Miss Judith,nadhani kama nimekupata vizuri,hawa wamekubali kuzaa pamoja siyo kurudiana.Kwa uelewa wangu mdogo nadhani watu kurudiana na kuishi under one roof ni tofauti na kuzaa pamoja.

you are right. but its a good step. and i am inviting you to pray for this couple so that they can break the chains of divorce and glorify the Lord through their highly esteemed marriage. nami sitalala usingizi hadi ile karatasi ya talaka imetiwa kiberiti.
 
Hongera judi kwa busara ulizojaaliwa ila njia uliyotumia kumkataa jamaa haikuwa nzuri na naona umetuzuga. Umesema jamaa ulikuwa humtaki na ulikuwa unasoma. Vipi kama mkewe angekataa katakata, wewe ungemkubali huyo jamaa?

dear husninyo, the end justifies the means! si busara kumpa mtu jibu litakaloplekea kukata mawasiliano na wakati unajua kabisa ana tatizo na huenda your intervention can help something. kama mkewe angekataa that will mean that another door has been opened for another strategy, and i could keep on twisting and changing strategies until something commendable happens. it is due to Gods mercy that the first choice of the strategy worked it entirely, completely and successfully
 
ahsante sana Judith kwa kuwa na Moyo wa upatanishi, watu wengine naona wanakutolea maneno ya kejeli bila kujua umhimu wa tendo ulilolifanya kwani hata mbinguni lina thawabu kubwa sana. waache waseme waoshe vinywa vyao, wee ni mweupe kwani kazi yako umeshaimaliza.
 
asante mpendwa kwa kunitia moyo
 
you are right, but kumsubiri mume wa mtu! hilo nadhani shouldn't be even the choice of the last resort, si unaona kitendo cha kupiga simu tu kimewaunganisha. nafikiri tujifunze hapo kuwa hata watu wakitengana bado huwa kuna nafasi ya kurudiana, so tusiwe makwazo kwao na tuwatie moyo. na waliotengana nao wasiache japo kujuliana hali huwezi jua Mungu aweza kuondoa tofauti zao na kuwaunganisha tena kwa gundi isiyoyeyuka

Ngoja tusubili azaliwe huyo mtoto.
Unajua kilicho wafanya watengane?
 
Miss Judith assuming kila mwanaume anayekuja kukupropose ni mtalaka, vipi utaendelea kushikilia msimamo wako ule ule wa kuwapatanishia wanawake wenzako huku wewe umri unasogea?

Au utajinyakulia mmoja na kujifungia naye ndani ukiiburudisha nafsi yako?
 
Ngoja tusubili azaliwe huyo mtoto.
Unajua kilicho wafanya watengane?

yah, najua akina thomaso bado wapo duniani na Mungu halali usingizi, tuendelee kuwaombe wapate mtoto kama wanavypanga na utukufu wa Mungu utaonekana
 
Miss Judith assuming kila mwanaume anayekuja kukupropose ni mtalaka, vipi utaendelea kushikilia msimamo wako ule ule wa kuwapatanishia wanawake wenzako huku wewe umri unasogea?

Au utajinyakulia mmoja na kujifungia naye ndani ukiiburudisha nafsi yako?

ndugu, kama ukitafakari kidogo tu signature yangu, utagundua kuwa jibu la swali lako limejibiwa hapo.

kuoa na kuolewa ni mpango wa Mungu na si wa mwanadamu. umri kwenda sio tatizo hata kidogo kwangu. najua yuko anihangaikiaye usiku na mchana kwa maana yeye halali usingizi. atanipa ndoa kwa majira na nyakati alizoweka yeye mwenyewe na mimi nitakachowajibika kufanya siku hiyo ni kupokea kwa shukrani na kwa utukufu wa Mungu. hakika siku hiyo haiko mbali. nikigeua kulia, kushoto na hata nyuma nawaona wachumba wengi maelfu kwa maelfu na walio bora sana, ninachosubiri ni ruhusa ya Mungu tu niambatane na mmoja wao kwa maisha mema na matukufu mbele za Mungu. kwa wakati huu yapasa niitimize kazi niliyopewa kuifanya kipindi hiki cha mpito cha ubachelor na soon nikiimaliza kazi hiyo nitavikwa taji ya utukufu kwani tayari ilishaandaliwa na inaningojea nimalize hii kazi. although am still too young, i am so happy and proud to be single at this time mpendwa
 
yah, najua akina thomaso bado wapo duniani na Mungu halali usingizi, tuendelee kuwaombe wapate mtoto kama wanavypanga na utukufu wa Mungu utaonekana

Nini kilicho wapelekea wakatengana na wewe ukawarudisha?
Jamaa umewasiliana nae anasema kilicho sababisha watengane amesha kisolve?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom