Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Wazee wa masifa hao,, Labda Mahoo kidogo lakini Babu Tarimo mmzee wa masifaaa madai yake anapiga factor tuu WOTE HATUNA AKILI NA HATUTAIWEZA IRRIGATION MPAKA MIAKA ZAIDI YA 15..
Haahaha! nakumbuka Prof TARIMO ANDREW alisimamia SP yangu ya undergraduate mbona cha moto nilikiona,,,uzuri nilikuwa nafata maelekezo yake na kwenye course zake zingine sikufanya ajizi

Mwenyewe anajiita AKPR Tarimo. Anasema Wahandisi wa Maji wa kwanza walikuwa wanne, na watatu wameshafariki amebaki yeye tu.
 
Mwl Mkandawile( chemistry), Mwl Chuwa ( biology- Mwanza) Mwl Maiko a.k.a ( Mnyama) mtaalam wa Mathematics na physics.

Mungu awatunze sana sana
 
Dr Comoro,nakukumbuka sana
na swaga zako hizi;
"I am Doctor Comoro....Doctor Comoro(not an Island).
The only Doctor......the only
Doctor,here at University of
Daresalaam from Harvard
University....from Harvard
University"
 
Back
Top Bottom