Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Prof. Gabagambi was such a great Soul .... May his Soul Rest In Peace. Dr. Betty Waized and Daniel Ndyetabula as well, they are the best. It was a blessing to be taught and grab some wisdom from them 💙
Duh! Kumbe Gabagambi hatunae?! Anyway, hakunifundisha bali alikuwa Mwandishi wa Makala mwenzangu kuhusu mambo ya uchumi kwenye Bongo's weekly newspapers!!

Sembuche vipi? Yupo huyu mzee?!
 
Amefundisha na Msalato pia, na alikuwa anasoma phd UDSM ndio . Alifariki muda akiwa mwanafunzi wa PhD .! Alivamiwa na majambazi wakampiga risasi. So sad yaani

Nilimaanisha
Msalato samahani,Alifundisha Chemistry na Mathematics ndio yalikuwa Masomo yake,
Mfupi Mweusi ana Sauti Nzito Flani hivi!
 
Dr. Mgani...
Dr. Mwakaboko
Prof. Mubofu(R.I.P)electrochemistry mtaalam
Prof. Mdoe
Prof. Mahugija
Dr. Mdachi (R.I.P) Mtaalam wa enantiomers
Prof. Mhinzi
Dr. Munissi
Dr. Nyandoro
Prof. Ester Lugwisha
Dr. Kinunda
Dr. Philip
Dr. Mgina
Dr. Regina
Dr. Kessy
Prof. Mkayula-Gwiji wa thermodyanamics
Prof. Othman
Prof. Buchwasheija
Prof. Nkunya
Prof. Mosha
Dr. Ngassapa


Hawa wote ni kutoka idara ya kemia-UDSM

Hawa wote wamenifunfisha kasoro nkunya na busheshaija
 
Labda kama polis walishatoa statement ila kama hawajatoa itamwuwia ngumu yy kujua kisa exactly

 
Namkumbuka sana Prof. Mpanduji kwa kufanya static na dynamic mechanics kuwa masomo maraisi kwa umahiri wake.
 
Back
Top Bottom