Vyuo Vikuu vingi vya Tanzania kuwa na ' Uhaba ' mkubwa wa Wahadhiri wenye PhD's ni dalili gani kwa Tanzania ya baadae Kitaaluma na Kimaendeleo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,034
Utafiti umefanyika na Kugundulika ya kwamba Vyuo Vikuu vingi vya nchini Tanzania vina uhaba mkubwa wa Wahadhiri ( Wakufunzi / Walimu ) wenye Shahada za Uzamivu ( Doctorate / PhD's ). Je hii ni dalili gani kwa Tanzania ya baadae hasa Kitaaluma na Kimaendeleo?

Chanzo Taarifa: Gazeti la The CITIZEN la Tarehe 2 January, 2019.

Nawasilisha.
 
PHD ya nini maisha haya?

Mkuu wa mkoa wa Moro mwenye PHD alitumbuliwa na Magu akaanza kulia ooh baba Magu nimekosa mimi nimekosa sana sijui nini kama Petro alivyomezwa na samaki.....
 
Mtu unafanya Research Za Kutosha Halafu Unapigwa Chini Hivi hivi na Watanzania Wenzako...

Wanafunzi wa Vyuoni wanabaniwa Marks ili wasiende Ku specilize Somo Fulani kisa Lecturer Hataki Watanzania Wenye Taaluma Kama Yake wawe wengi Nchini

R!'^/_:Rr[b.+f}[8D?|
 
Mkuu kwa hiki ulichokiandika hapa sasa naanza kuona tatizo liko wapi. Ngoja nisubirie na michango ya wengine ila kwa Kuanzia tu nakubaliana nawe kwa 100%.
 
Siasa inalipa kuliko hizo takataka zinazoitwa PHD.

*PHD(Proudly Half Dead)

*Professors had Doubts

*Probably heavily in Debt

*Permanent head Damage
Hapana Ni Mfumo Fulani tu Ambao Tunapitia hapa Nchini.

Hukumbuki zamani Mwalimu alikuwa na Heshima Kuliko mwanasiasa...

R!'^/_:Rr[b.+f}[8D?|
 
Unoko mwingi ndo shida....wanaojiweza wanaenda kusomea nje tu wanarudi na phd zao tena vijana kabisa.....ila ukitaka phd ya bongo unaweza sota hadi uote mvi
 
Waadhiri wetu hawathaminiki ndo maana wengi walikimbilia kwenye siasa
Utafiti umefanyika na Kugundulika ya kwamba Vyuo Vikuu vingi vya nchini Tanzania vina uhaba mkubwa wa Wahadhiri ( Wakufunzi / Walimu ) wenye Shahada za Uzamivu ( Doctorate / PhD's ). Je hii ni dalili gani kwa Tanzania ya baadae hasa Kitaaluma na Kimaendeleo?

Chanzo Taarifa: Gazeti la The CITIZEN la Tarehe 2 January, 2019.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu unafanya Research Za Kutosha Halafu Unapigwa Chini Hivi hivi na Watanzania Wenzako...

Wanafunzi wa Vyuoni wanabaniwa Marks ili wasiende Ku specilize Somo Fulani kisa Lecturer Hataki Watanzania Wenye Taaluma Kama Yake wawe wengi Nchini

R!'^/_:Rr[b.+f}[8D?|
Huu ni ugonjwa sugu, sio tu wanawakomoa wanafunzi bali wanarudisha maendeleo ya elimu nyuma sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu unafanya Research Za Kutosha Halafu Unapigwa Chini Hivi hivi na Watanzania Wenzako...

Wanafunzi wa Vyuoni wanabaniwa Marks ili wasiende Ku specilize Somo Fulani kisa Lecturer Hataki Watanzania Wenye Taaluma Kama Yake wawe wengi Nchini

R!'^/_:Rr[b.+f}[8D?|
Huu ni ugonjwa sugu, sio tu wanawakomoa wanafunzi bali wanarudisha maendeleo ya elimu nyuma sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa hiki ulichokiandika hapa sasa naanza kuona tatizo liko wapi. Ngoja nisubirie na michango ya wengine ila kwa Kuanzia tu nakubaliana nawe kwa 100%.
Hili lipo na Tunaliona Sana Vyuoni, kuna Jamaa Mmoja Alitaka Kwenda Kuspecializ Human Pathology(Awe Pathologist) na Akili zake si Za Nchi hii ila Aliangushwa Na Lecturer wetu.

Maana Yake hata Marks alizokuwa napata Atleast angeenda Master baadae PHD ila Kubaniana Sana Hii Nchi

R!'^/_:Rr[b.+f}[8D?|
 
Utafiti umefanyika na Kugundulika ya kwamba Vyuo Vikuu vingi vya nchini Tanzania vina uhaba mkubwa wa Wahadhiri ( Wakufunzi / Walimu ) wenye Shahada za Uzamivu ( Doctorate / PhD's ). Je hii ni dalili gani kwa Tanzania ya baadae hasa Kitaaluma na Kimaendeleo?

Chanzo Taarifa: Gazeti la The CITIZEN la Tarehe 2 January, 2019.

Nawasilisha.
Unalolisema nikweli lipo na hali si shwari kwani wanafunzi wanaojiunga na elimu ya juu ni wengi na wanazidi kuongezeka mwaka hadi mwaka
Kunamdogo wangu ana soma chuo Fulani hapa nchini ananiambia wana wahadhiri PhD holder wa nne tu

Ile kauli ya mkapa ya kutafakari elimu yetu inakokwenda serikali inabidi iangalie kwa jicho la pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unoko mwingi ndo shida....wanaojiweza wanaenda kusomea nje tu wanarudi na phd zao tena vijana kabisa.....ila ukitaka phd ya bongo unaweza sota hadi uote mvi

Kuna Mwalimu wangu mmoja alikuwa na Masters tokea mwaka 2008 ila hadi hivi sasa bado anapambana Kumaliza PhD yake katika moja ya Vyuo Vikuu hapa nchini Tanzania na kila Siku anahudhuria Darasani na ' Assignments ' zote anazifanya. Nahisi labda ataimalizia mwaka 3013 hapo. Nimekuelewa sana Mkuu na Shikamoo pia!
 
Tatizo lililopo ni kwamba hata hawa walio na PHD kwa sasa hawajaweza kuonesha tija yeyote ya kukuza maendeleo ya nchi yetu. Sanasana wamekuwa wakiimba na kusifu shughuli za baba jei badala ya kumpa ushauri ulio black n white
 
Back
Top Bottom