Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

prof PKT MUNISHI (very social na wetland yake)
prof Mama Pereka (rip)
prof SS Madofe (rip)
Dr Sayuni Mariki B (popote ulipo MUNGU akubariki aiseee si kwa ubinadamu ule)
prof Kidegesho
prof Kessy
 
Kumbe Prof. Rugumamu ndio maana ni best wa Prof. Ngware, naye alikuwa na misemo hiyo hiyo kuwa ukiona gari langu Manzese piga simu polisi

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Prof Severin Rugumamu alikuwa anafundisha DS specifically Globalization and Development....

Alikuwa anatumbia...." Hasomi magazeti uchwara ya Daily News, Majira, Mwananchi na mengineyo anasema amesubscribe New York Times...analipata kila wiki"

Pia KLM walipa card ya frequent flyer kwasababu alikuwa mteja wao mkubwa
 
Prof Severin Rugumamu alikuwa anafundisha DS specifically Globalization and Development....

Alikuwa anatumbia...." Hasomi magazeti uchwara ya Daily News, Majira, Mwananchi na mengineyo anasema amesubscribe New York Times...analipata kila wiki"

Pia KLM walipa card ya frequent flyer kwasababu alikuwa mteja wao mkubwa
Heheee ma prof wa kihaya wanambwembwe kuna prof kazahura muhas prof wa biostatistics anakwambia yeye hua hajiungi vocha hua anapiga na kuingia internet..na mwisho wa mwezi mtandao unamletea bili ya kiasi alichotumia..anawalipa kwa dola..pia anakwambia hafanyi consultancy ambayo hailipi kwa USD.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Proff Juan Mwaikusa, Dr Mvungi mlinifunza mambo ya msingi sana, kitu kimoja cha msingi mlinifunza petience, Mungu awarehemu,sijamsahau mwl Simwaba na Mtefu waalimu wangu wa sekondari mkae pema,
sorry na Mwalimu Maufi wa shule ya msingi sijakusahau ukae pema peponi...
Sorry mleta mada umelenga wahadhiri but....
wengine we are so touched na waalimu waliotujengea misingi....
kabla ya kufika vyuo...
see you in the next life
Fafanua Simwaba yupo Hai au napenda kujua hilo kama yupo nimtafute tafadhari, Gwimile na Mtefu na Madam Mkenya
 
Pro. Lweramila R.I.P ulinifanya nione QM kitonga sana. Mungu akubariki sana maana nakula senti kupitia hekima yako japo ndo hivyo mishahara kidogo ili yatosha kusema ur my best Lecture.

Mr. Mosha mzee wa statistics nawe pia utabakia mwangu moyoni japo ulinitisha sana ila kuna kitu kilinijenga sana.

Mr. Ndile mzee wa probability Hahaaaaaaa kuna mengi najivunia kwako. Nakumbuka ulisema ukistaafu utafungua kanisa na kuliita Ndilelism Church.
 
Professor Yusaf Akbar- Budapest(international bus mgt, Managing in Emerging Markets) Professor Tulio Gregory-Trieste-Economics, Prof Tracogna-Italy-Business Strategy, Professor Segand-finance, Professor Irena-Slovenia-Cross-Cultural Communication, nimewasahau Majina miamba ya Revenue Management (airline Business), Business franchising, Web2.0, 3.0 Ulaya Ulaya tu, Mashine moja ya Orgn. Behaviour mama yangu yelewi asanteni sana Erasmus Mundus
 
Dr Uwiso mr (meteorology), G.M G.M Mlay(MT 100) foundation to mathematical analysis,comedy Sana huyu mzee.Alikuwa anacompare puchu na complex number.
UDSM
 
Mwalimu wangu wa muda wote Dr Sungwa wa udom college of education huyu jamaa mbinguni moja kwa moja, jamaa hana complications kabisa kutoa A kwa darasa zima haoni shida ilmradi umefanya kazi na ufundishaji wake ni very simple
 
Prof. Haidari Amani
Huyu amenifundisha Consumer Behavior mwaka wa kwanza chuo kikuu cha Dar es Salaam ktk Introductory Microeconomic Analysis EC 116. Alikuwa fundi sana na alinifanya niupende sana uchumi. Hii course walikuwa wanafundisha na aliyekuwa naibu gavana benki kuu Dr. Natu Mwamba pamoja aliyekuwa msajili wa hazina Dr. Oswald Mashindano, hawa walikuwa wabovu wote. 😃​

Prof. Delphin Gayata Rwegasira
Mtaalamu huyu na mhitimu wa chuo kikuu cha Harvard (A.M, PhD Economics, 1971-1976) amenifundisha Monetary Economics EC 371 na Policy Analysis EC 664, Alikuwa anafundisha kwa hisia sana na ana ujuzi mkubwa sana wa sera za fedha, pia alikuwa msimamizi wa andiko langu kipindi namaliza chuo.​

Hawa kwa sasa wote wamestaafu ila ni waalimu niliowapenda sana walikuwa very smart kichwani, mmoja ni jirani yangu huwa tunakutana mara moja moja kupiga story.
Hata mimi Amani kqnifundisha hiyo hiyo consumer choice anajua sana.
 
Back
Top Bottom