Ebu Leo Tuwakumbuke Wahadhiri wa Vyuo Vikuu Waliokuwa Wanoko Na Hautakaa Uwasahau Maisha yako Kwa mambo waliyokufanyia

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,726
1,989
Wote waliosoma vyuo vikuu kuna changamoto za wahadhiri walizozipitia kiasi kwamba akaona chuo kichungu, Especially ikifika kipindi cha Coursework, Assignment, Quiz Bila Kusahau Carry and Supplementary
Na Kwenye mambo ya Research kuna watu wamesotea sana
Upande wa Research uwaga ni hatari kama ukipata supervisor mnoko Yaan utarudia Research hadi ujute kusoma

Dah Sitasahau Dissertation yangu ya masters hapo UD nilisota sana nilikata hadi tamaa ya kugraduate Isee, Masters ya UDSM sio ya kitoto hadi mtu agraduate jua amesota sana
 
Masters ya chuo gani ndo nyepesi mkuu? Toa na vigezo.
 
Wote waliosoma vyuo vikuu kuna changamoto za wahadhiri walizozipitia kiasi kwamba akaona chuo kichungu, Especially ikifika kipindi cha Coursework, Assignment, Quiz Bila Kusahau Carry and Supplementary
Na Kwenye mambo ya Research kuna watu wamesotea sana
Upande wa Research uwaga ni hatari kama ukipata supervisor mnoko Yaan utarudia Research hadi ujute kusoma

Dah Sitasahau Dissertation yangu ya masters hapo UD nilisota sana nilikata hadi tamaa ya kugraduate Isee, Masters ya UDSM sio ya kitoto hadi mtu agraduate jua amesota sana
Unachokitafuta utakipata! Sredi za vyuo tu ili mchepue wake wa wenzio
 
Dr. Frank wa SAUT sasa hivi yupo open University. Huyu jamaa alinitesa sana mwaka wa 3 sitakaa nimsahau katika maisha yangu
 
Back
Top Bottom