Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Sawa mzee wa meta ila umemsahau mageta na kimatale usiseme huwajui

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Damas Mwaipaja, Senior Academic Master & Mwl wa Adavanced Mathematics ! pale Mkwawa high school
 
Dr Mbura ni mzima moto tu
Unawakumbuka Prof. Othman, Prof. Nkunya na Prof. Mkayula?
Miaka hiyo walikuwa Madaktari
 
Dr. Mgani...
Dr. Mwakaboko
Prof. Mubofu(R.I.P)electrochemistry mtaalam
Prof. Mdoe
Prof. Mahugija
Dr. Mdachi (R.I.P) Mtaalam wa enantiomers
Prof. Mhinzi
Dr. Munissi
Dr. Nyandoro
Prof. Ester Lugwisha
Dr. Kinunda
Dr. Philip
Dr. Mgina
Dr. Regina
Dr. Kessy
Prof. Mkayula-Gwiji wa thermodyanamics
Prof. Othman
Prof. Buchwasheija
Prof. Nkunya
Prof. Mosha
Dr. Ngassapa

Hawa wote ni kutoka idara ya kemia-UDSM
 
Mdachi mwamba alijua kutukamata aseeeh, Mahugija Sina taarifa Kama kawa Prof, alikuwa akivuta tu suruali inashuka slides, mgina mtu pouwa sana, na mwenzie Mdoe!! Mobufu alikuwa Head department of chemistry Mhinzi alikuwa anavunja inorganic chemistry
 
Mahugija kawa prof aseee.....tangu mwaka jana ni prof. Hao ni vichwa vya idara ya kemiaaa aseeee...Mhinzi bado anakata inorganic kama kawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…