Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

De professor DAMIAN GAMBAGAMBI ktk degrees angu ya uchumi SUA,( Alinifanya niuelewe uchumi kinagaubaga na kuwa mdadavuaji binafsi Mungu amlaze mahali pema yule Prof.maana juz kafark,)..


De proffessor BET WAIZED( jina cjui nmepatia kizee Mimi..) Nakumbuka enzi hzo natoka Ukraine for the first time...alitusimamia vzr ktk degree yangu ya pili..Mimi na Dr.Dyetabulla..kiukweli huyu mama anaroho nzuri sana,Nilipenda kumuita Mzungu mweusi...alikuwa anacheka tu,na Proffessor Xvael Arishité(cjui nmekosea)...huyu alikuwa mahili kwa mifano kama Mwl.Lewis (wa Relativity theory)...



Nmebatika kuwapata walimu wazuri na wenye kunipenda zaid ya maelezo.


#R.I.P PROF.DAMIAN GAMBAGAMBI
Prof. Gabagambi was such a great Soul .... May his Soul Rest In Peace. Dr. Betty Waized and Daniel Ndyetabula as well, they are the best. It was a blessing to be taught and grab some wisdom from them 💙
 
Mama Kabito na Mr kishimbo wa IAA..,.Yani walifanya shule tuipende,

Ukija kwa upande wa lecturers waliofanya shule iwe ngumu basi Chalicha lazima awemo, Yani picha linaanza notes zake anasoma alafu nyie ndo muandike, Yani vitu vyepesi anaweka ugumu usio na maana
 
Prof. Bakari Mwinyiwiwa
Dr. Alexander Kyaruzi
Prof. Dominick Chambega

CoET, UDSM
 
Probably you wanted to mean "How" and not "why" Europe underdeveloped Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
It's why not how as you'd wish I know what I wrote ndugu! thanks that yours is a presumptuous phrase on what I wrote. The Professor I'm discussing here was on Walter Rodney's classic How Europe Underdeveloped Africa; the subject line was Why the bluish brown guys underdeveloped Africans!!
 
Professor Nshimo,Professor Malele ,Professor Temu na Dr Kabati hivi vichwa ni hatari sana
 
Dr. Rwambali, Prof. Mlambiti wote wa SUA hata kama umekula maharage na ukahudhuria lecture theatre mchana for more than a hour....no usingizi at all.
 
Tr Lyatuu - chemistry O’level (alisababisha niipende Chemistry na kufaulu vizuri sana)
Tr Kavenuke - chemistry a’level (Mwl Poa sana alieipenda kazi yake , RIP)
Prof Funajiv UDSM - Paschal language (alipenda kumalizana na programming ubaoni code mnamalizana kwenye karatasi )
Prof Akaro - UDSM Dpt ya Statistics , Mungu ambariki hakasiriki hata ukiuliza maswali Mara ngapi anakuelewesha.
Prof Mbago - UDSM , Baba Huyu alifanya nione ststistics ni nyepesi Somo lake lolote alilonifundisha nilipata A ya maana.
Prof Kidane - UDSM alinifundisha econometrics nikaelewa kiasi cha kuweza kufanya mtihani bila review. God bless him huko aliko (sio Mtz).
Dr Rugaimukamu - UDSM Mwl wa hesabu alikuwa anatutisha tisha na somo lake la MT 100 ila tukafaulu
Wengine ilikuwa kawaida kuna masomo mengine yalikuwa easy lakini namna Mwl anafundisha unaishia kutoelewa.

Sorry Kavenuke Alifariki?
Au jina nalifananisha?
Akikuwa Anafundisha Kilakala sec,Kabla ya hapo Kafundisha Jamhuri sec school!
Nadhani Baadae alikwenda Phd udsm!
Anavaa miwani!
Nisahihishe mkuu!
 
Dr Mills- Material Engineering
Prof Phil Picton- Microprocessor Engineering
Dr Boswell- Mechanical Engineering
IEng Alan Casey-Electrical Engineering
UoN
 
nami naongeza kwa kuwataja dk.sungwa,Tito,dk tandika,dk kano,dk ndibalema,dk mgonja,prof. Kabigumila, dk mtahabwa,mkanachi,dk msangi wa ICT, mbabe mbaula, e.t.c
We kano na mgonja ni madr siku hizi?
Hapo mtu n mmoja tu yohana wa literature popote ulipo Mungu akupe miaka mingi.
 
Sorry Kavenuke Alifariki?
Au jina nalifananisha?
Akikuwa Anafundisha Kilakala sec,Kabla ya hapo Kafundisha Jamhuri sec school!
Nadhani Baadae alikwenda Phd udsm!
Anavaa miwani!
Nisahihishe mkuu!

Amefundisha na Msalato pia, na alikuwa anasoma phd UDSM ndio . Alifariki muda akiwa mwanafunzi wa PhD .! Alivamiwa na majambazi wakampiga risasi. So sad yaani
 
Back
Top Bottom